JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Sunday, September 2, 2018

Tunapokea Na Kutoa Kwa Utayari Tulionao.

 Sadick Kilasi     September 02, 2018     No comments   

Habari za wakati huu ndugu katika Bwana? Tunamshukuru Mwenyezi Mungu ambaye hutuongoza katika hatua za maisha yetu. Ni jambo zuri na jema kama unaweza kusoma hapa. Kiukweli ninaamini hata kama upo katika hali gani unayo fursa ya uhai hata kama wewe sio mzima unaweza kufanya lolote ambalo linaweza kubadilisha historia ya maisha. Karibu katika makala ya leo tujifunze mimi na wewe kwa pamoja, neno la uzima ambalo litakuponya endepo tu, ukiamini na kuwa mwadilifu kwa lile ambalo utajifunza.


Tunapokea na kutoa kwa utayari tulionao. Na huu ndio ukweli wemyewe ambao haupingiki kabisa. Ukitaka kuliamini hili, angalia mambo mengi ambayo wewe huamini tofauti na watu wengine kwa jinsi ambavyo wanaamini. Utayari katika maisha ni eneo la muhimu sana kwani tunapokea na kutoa kwa utayari tulionao.

Somo hili la utayari ni eneo au wakati ambao mhusika yupo pale yaani kwa mfano mimi Sadick, hata kama nimelala, ukiniuliza swali wewe nani? Nitalujibu kutokana na utayari nilio nao. Naweza kukujibu kwa jina langu kwamba mimi ni Sadick ama la nikujibu tofauti kutegemeana na namna amabavyo umenikuta.

Utayari ni maamuzi madogomadogo sana ambayo mtu huwa anayatatua na kuyachukulia. Eneo la utayari ni eneo la muhimu sana maana hili ndio nishati ya maisha ya mtu. Hapa ndipo ambapo utakutana na mitazamo ya watu ambayo humfanya aonekane namna alivo japo kuna wakati unaweza kubadilisha mtazamo wa jambo na kuishi tofauti ambavyo ulikuwa mwanzo.

Utayari unaweza kuharibu maisha yako ama kuyajenga maisha yako. Na hii inategemea maeneo makuu matatu, ambayo ni;
Imani
Utayari na
Matumaini.

Unaishi unacho kiishi kwa sababu umeamini hicho unachokiishi. Unaishi utayari unaoishi kwa sababu uliamini hapo mwanzo. Lakini pia unaendelea kuishi unachokiamini kwa sababu unamatumaini nacho kwamba kitakufikisha sehemu husika. Njia yoyote inayoelekea kuna mahali itakufikisha. Katika eneo la utayari ndio mwendo ambao unauchukua.

Utayari unaweza kuharibu maisha ya mtu kutokana na mwanzo wake namna ambavyo alichagua hapo mwanzo  na kuamini na anaendelea kuishi hapo mwanzo. Mfano mdago ni huu, mtumiaji wa madawa ya kulevya, alichagua hapo mwanzo kutumia madawa ya kulevya kutokana na mwanzo wake labda baada ya kuwa katika hali fulani aliona hiyo ndiyo njia pekee ambayo angetatua jambo fulani ambalo lilikuwa linamsumbua na sasa anaishi kwa uraibu. Matumaini ya walevi siku zote ni burudani ambayo siku zote huharibu maisha ya watu, kwani burudani huwa inategemea zaidi uraibu au mazoea fulani.

Katika msingi wa maisha ya anayetafuta mafanikio ya ukweli basi ni lazima aishi kwa nguvu hizi tatu ambazo ni;
IMANI
UPENDO NA 
MATUMAINI.

Limebadilika neno utayari kwa sababu sio watu wote huushi na kufanya maamuzi ya upendo maana inakutegemea wewe upo tayari kwa jambo gani. Wengine hupanga kabisa kwamba mimi yule jamaa simpendi kutokana na hili na hili kwahiyo huyo atakuwa hana cha kubadilisha kwa sababu tayari anautayari wake ambao tayari anaishi.

Katika maisha ambayo tunaishi yaani dunia hii, kuna nguvu mbili ambazo zipo, nguvu ya giza na nuru lakini kunawengine hawana utayari wowote kwahiyo wanaishi bila msingi wowote ule lakini bado hujikuta wametumbukia katika nguvu ya giza maana nguvu hii haihitaji nguvu kujijenga bali ukizaliwa tu inakuingia bila kutumia nguvu na hii ni kwa sababu ulimwengu huu upo chini ya utawala wa mambo mabaya na ni rahisi kujiingiza katika mambo mabaya..................

Kwa leo tuishie hapo lakini makala hii itaendelea, kuna mengi ya kujifunza katika utayari maana wengi hujikuta mti unamea tu juu ya ardhi na baadaye tunashangazwa na hilo bila kujua kwamba nguvu hizi za kuvuta mambo zipo katika sisi na sisi ndio wapanzi na wamwagiliaji na wavunaji.

Ombi langu kwako wewe rafiki naomba unisaidie kusambaza makala hii kwa jinsi unavoweza mwenyewe, ukifanya hivyo utakuwa tayari una utayari wa upendo maana makala hizi ni kwaajili ya kuwaponya watu katika maisha yao. Usisaha ndugu katika Bwana kama bado hujasoma makala za injili ya Maji na Roho hakikisha unasoma. Asante.

Asante kwa kusoma makala, wewe ni zawadi yangu,mimi pia ni wako wewe.

Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.

Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ►  2019 (46)
    • ►  December (4)
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ▼  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ►  October (29)
    • ▼  September (43)
      • Toa Ulichonacho, Anzia Hapo Ulipo.
      • Panda Mti Leo.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..13] Hatupokei Haki Ya Mungu...
      • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.
      • Usijikinai Ndugu, Utaoza.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..12] Injili Ya Maji Na ROHO....
      • Utukufu Ni Wa Mungu.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..11] Je! Ufanye Nini Wakati ...
      • Watu Hawatakosa La Kusema, Endelea Kufanya Unachop...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...10] Hamna Namna, Mshangaze...
      • Endelea Kufanya Yanayofaa.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...9] Ukimpokea Yesu Onyesha...
      • Hii ndio Njaa Kubwa Ya Dunia Ya Sasa.
      • Tumia Makombo Ya Wakati Wako Kujisomea Neno La Mungu.
      • Naomba Uniambie Rafiki Yangu, Unaishije Na Watu Wa...
      • Una Shina La Kukupeleka Katika Ushindi.
      • Je! Mungu Atakuwepo Au Hatakuwepo?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..8] Mambo Mawili Ambayo Huon...
      • Ukiona Unaliamini Jambo Na Huishi Hilo Jambo Basi ...
      • Je! Unapanda, Au Unashuka Bondeni?
      • Huwezi Kuuona Umuhimu Wa Maji Mpaka Visima Vikauke.
      • Kuijua Imani Na Kuishi Maisha Ya Ushindi.
      • Ukiona Fursa Hazigongi Mlango Jenga Mlango.
      • Jenga Tabia Hii Nayo Tabia Itakujenga Katika Mahus...
      • Gharama Ya KupataVitu Vizuri Vinavyokupeleka Katik...
      • [TAFAKALI NENO YA LEO...7] Ondoleo La Hofu Na Mais...
      • [TAFAKARI HEKIMA ZA WAZEE], Kuwaelewa Wengine, Kuj...
      • Alituchagua Tangu Tukiwa Na Dhambi. [Kwa Imani Tun...
      • Kanuni Ya Kibiblia Ambayo Inaweza Kukusaidia Kupan...
      • Utabiri Wa Nabii Danieli Juu Ya Injili Ya Maji Na ...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...6] Tumeandaliwa Mazingira ...
      • Umezaliwa Wa Kipekee Sana Lakini Watu Ndio Kioo Ch...
      • (TAFAKARI NENO YA LEO...5) Kama Una Tumaini Basi T...
      • Hakuna Mtu ambaye Hana Kabisa Katika Maisha.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..4] Mtumainie Mungu Usikate ...
      • Hii Ni Bahati Yako Au Ni Wakati Sahihi Kwako?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO 3] Usiende Kwa Mganga Siku Y...
      • Tunapokea Na Kutoa Kutokana Na Utayari Tulionao....2
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...2] Je! Unataka Kuwa Na Fur...
      • Geuza Machungu Yako Kuwa Ushindi.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO ...1] Jinsi Chuki Zinavyoene...
      • Tafakari Neno Ya Siku.
      • Tunapokea Na Kutoa Kwa Utayari Tulionao.
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ►  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ►  August (4)
    • ►  July (3)
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI


ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates