JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Wednesday, September 19, 2018

Jenga Tabia Hii Nayo Tabia Itakujenga Katika Mahusiano.

 Sadick Kilasi     September 19, 2018     MAHUSIANO     No comments   

Ukitaka kupanda daladala wewe ndiye unayefanya maamuzi ya kupanda daladala nayo daladala itakufikisha kule ambako unakwenda. Na katika utu wa tabia mambo yapo hivo hivo. Kuna tabia nyingi sana lakini unweza kujenga tabia ambayo inaweza kukufikisha ambako unakwenda kulingana na wewe ulivochagua. Kwa sababu siku zote tabia ya mtu sio mtu ila ni kitu ambacho amechagua ili kimuongoze anakokwenda.

Tabia inajengwa kulinngana na unavowekeza na kuekeza. Jinsi ambavyo umechagua kuishi ndivyo ambavyo unatakavyokuwa, lakini hii inategemea mrudio wa mara kwa mara na huu ndio uwekezaji wenyewe ambao unakuwa umeuwekeza.

 Sasa tabia za watu waliofanikiwa zilianza kujengwa na wao wenyewe na sio tabia ilianza kujenga mtu. Ninaposema tabia ya watu waliofanikiwa katika maisha iilianza kujengwa na yeye mwenyewe namaanisha kwamba alichagua tabia ya kuiendesha.  Lakini kwa upande ambao tabia ilimjenga mtu, mara nyingi mfumo wa maisha ya mtu huyu huwa ni ndondokela yaani hana msimamo, dunia inamwendesha badala ya dunia kuiendesha.


Ili ujengeke katika maisha yako ni lazima uwe mtu wa maamuzi na sio wa kuamuliwa na mazingira ambayo yapo mbele yako. Na kwa sababu mwanzo wa kupanda daladala huwa ni muhusika mwenyewe basi hata tabia katika kujengeka mwanzo wake ni wewe mwenyewe. Na hapo ndipo unahitaji kitu kimoja cha muhimu sana ambacho kitakufanya uwe mtu wa kuchagua machaguo yaliyo mazuri.

Jambo ambalo unahitaji ili kujenga tabia ambayo tabia nayo itakujenga katika mahusiano ni tabia ya KUJIKOSOA ukiwa peke yako. Katika mfumo wa mawazo huwezi kuepuka mawazo yanayokuja ambayo wewe huyataki, ni mawzo yanayokuja bila wewe kuruhusu. Lakini wewe unanguvu kubwa ya kutaka unachotaka, sasa katika mawazo hayo yanakuwa ni mabaya lakini si kwamba ni mabaya moja kwa moja ila kunakizuri kidogo ambacho unapaswa kuchuja na kupata jambo zuri.

Ikiwa unatabia ya kujikosoa ndani mwako ni rahisi kuyahendo mawazo yanayokuja ndani mwako. Kuna wakati linakuja wazo ambalo linakufanya ujifikirie vibaya au umufikirie mwingine vibaya, na mengine mengi, sasa katika mfumo huu, unajiuliza ndani mwako katika dhamiri yako, hivi hiki ninachowaza ni sahihi? Je! usahihi uko wapi? Je! najijenga mwenyewe? Ama la! siwaumizi wengine kiroho? Sasa kwa mfumo huu itakufanya uchague jambo sahihi ambalo unapaswa kunda nalo.

Lakini kama huwezi kufanya hivyo, utapokea kama lilivyo na sura yake ya mbele kumbe ndani ya lile wazo kunavitu ambavyo vipo ndani yake. Ukipanda daladala ambayo huwezi kujua inaelekea wapi inamaana itakufikisha inakotaka yenyewe na mwisho utajistukia mwenyewe na kujiuliza, ha! niko wapi? Lakini ulipanda mwenyewe.

 Kwenye daladala watu ambao wapo nje lakini ndani ya daladala kuna watu tofautitofauti. Tabia tuliyonayo japo sisi sio tabia lakini huwa inadhirisha tulichonacho ndani, na ndio daladala yenyewe. Sura ya nje itakuonyesha wazi wewe ni nani na watu watakupokea jinsi unavoonekana nje na hapo nndipo utakapojenga mahusiano yako au kubomoa. Ikiwa daladala imeandikwa Ilala basi nawe ndani iwe Ilala na sio daldala imeandikwa Ilala na wewe ni Masaki, hutaeleweka.

Hii yote inategemea chaguo lako la mara ya kwanza ulilolifanaya. Kwa hiyo ni muhimu sana kujikosoa na kukosoa mawazo yako.
 Waefeso 6:12,14, Maana vita vyetu si vita kati yetu na binadamu, bali ni vita dhidi ya jeshi ovu la ulimwengu wa roho; tunapigana na watawla, wakuu na wenye nguvu, wanaomiliki ulimwengu huu wa giza. Basi kaeni  tayari, ukweli na uwe kama mkanda kiunoni mwenu, uadilifu uwe kama vazi la kujikinga kifuani.
Huu ni utayari ambao kila mmoja anapaswa kuuishi wakati wote. Kwa hiyo ili kujenga tabia njema hakikisha unajenga tabia hiyo kujikosoa na kukosoa mawazo yako na kutambua tofauti na kuweka kila kitu sehemu yake. ASANTE.

Ningependa kusikia kitu kutoka kwako, je! unampango wowote? Je! unataka kupanda daladala ambayo si yako? Nitumie ujumbe rafiki yangu ili unishirikishe yale mazuri ya mpango wako labda tunaweza kushauriana zaidi. Nitumie ujumbe au toa maoni yako. Pia, naomba unisaidie kusambaza makala hizi kwa marafiki zako ili nao wapate kuponywa. Unachotakiwa kufanya ni kushare kwenye mitandao ya kijamii. Lakini pia, karibu kwa maoni yoyote mimi nipo kwaajili yako. Asante.

Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.

Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.


  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ►  2019 (46)
    • ►  December (4)
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ▼  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ►  October (29)
    • ▼  September (43)
      • Toa Ulichonacho, Anzia Hapo Ulipo.
      • Panda Mti Leo.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..13] Hatupokei Haki Ya Mungu...
      • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.
      • Usijikinai Ndugu, Utaoza.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..12] Injili Ya Maji Na ROHO....
      • Utukufu Ni Wa Mungu.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..11] Je! Ufanye Nini Wakati ...
      • Watu Hawatakosa La Kusema, Endelea Kufanya Unachop...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...10] Hamna Namna, Mshangaze...
      • Endelea Kufanya Yanayofaa.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...9] Ukimpokea Yesu Onyesha...
      • Hii ndio Njaa Kubwa Ya Dunia Ya Sasa.
      • Tumia Makombo Ya Wakati Wako Kujisomea Neno La Mungu.
      • Naomba Uniambie Rafiki Yangu, Unaishije Na Watu Wa...
      • Una Shina La Kukupeleka Katika Ushindi.
      • Je! Mungu Atakuwepo Au Hatakuwepo?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..8] Mambo Mawili Ambayo Huon...
      • Ukiona Unaliamini Jambo Na Huishi Hilo Jambo Basi ...
      • Je! Unapanda, Au Unashuka Bondeni?
      • Huwezi Kuuona Umuhimu Wa Maji Mpaka Visima Vikauke.
      • Kuijua Imani Na Kuishi Maisha Ya Ushindi.
      • Ukiona Fursa Hazigongi Mlango Jenga Mlango.
      • Jenga Tabia Hii Nayo Tabia Itakujenga Katika Mahus...
      • Gharama Ya KupataVitu Vizuri Vinavyokupeleka Katik...
      • [TAFAKALI NENO YA LEO...7] Ondoleo La Hofu Na Mais...
      • [TAFAKARI HEKIMA ZA WAZEE], Kuwaelewa Wengine, Kuj...
      • Alituchagua Tangu Tukiwa Na Dhambi. [Kwa Imani Tun...
      • Kanuni Ya Kibiblia Ambayo Inaweza Kukusaidia Kupan...
      • Utabiri Wa Nabii Danieli Juu Ya Injili Ya Maji Na ...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...6] Tumeandaliwa Mazingira ...
      • Umezaliwa Wa Kipekee Sana Lakini Watu Ndio Kioo Ch...
      • (TAFAKARI NENO YA LEO...5) Kama Una Tumaini Basi T...
      • Hakuna Mtu ambaye Hana Kabisa Katika Maisha.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..4] Mtumainie Mungu Usikate ...
      • Hii Ni Bahati Yako Au Ni Wakati Sahihi Kwako?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO 3] Usiende Kwa Mganga Siku Y...
      • Tunapokea Na Kutoa Kutokana Na Utayari Tulionao....2
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...2] Je! Unataka Kuwa Na Fur...
      • Geuza Machungu Yako Kuwa Ushindi.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO ...1] Jinsi Chuki Zinavyoene...
      • Tafakari Neno Ya Siku.
      • Tunapokea Na Kutoa Kwa Utayari Tulionao.
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ►  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ►  August (4)
    • ►  July (3)
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI


ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates