JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Sunday, September 9, 2018

Tunapokea Na Kutoa Kutokana Na Utayari Tulionao....2

 Sadick Kilasi     September 09, 2018     No comments   

Makala iliyopita tuliangalia juu ya utayari kwenye mambo matatu yaani, imani, utayari na matumaini. Tukasema kwamba, kwa wale wenye matumaini na Mungu, maisha yao yamejengwa katika msingi wa imani, upendo na matumaini.

Utayari ni kuishi matumaini yako kwa imani. Katika somo la utayari niligundua ni somo la muhimu sana katika maisha kwani mambo mengi hutukia kutokana na utayari wetu. Hatua yoyote ile ambayo umeichukua imesababishwa na utayari wetu.

Je! unamatumaini? Ishi matumaini yako. Mungu alinifundisha kitu kimoja kwamba, Sadick, chochote ambacho unakitaka inakubidi uishi kile unachokitaka maana kwa kuishi kile unachokitaka utapokea haki kutoka kwangu. Mungu alinifundisha hivo kupitia neno lake;
ZABURI 85:9-13, Hakika wokovu wake u karibu na wamchao, utukufu ukae katika nchi yetu. Fadhili na kweli zimekutana, haki na amani zimehusiana. Kweli imechipuka katika nchi, haki imechungulia kuotoka mbinguni. Naam, Bwana anatoa kilicho chema, na nchi yetu inatoa mazao yake. Haki itakwenda mbele zake, nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.

Mpendwa msomaji, umeuna utayari ambao Mungu anatuonyesha, [Hakika wokovu wake u karibu na wamchao, utukufu ukae katika nchi yetu.] Inamaana tukiishi kwa kumcha Mungu, tukimtumainiya yeye, tukiwa tayari tunayaishi yale maisha ambayo yeye anataka tuishi basi utukufu wake utakaa kwako. Tukiishi kweli na kuonyesha wazi wazi kwamba sasa tunapaswa kufanya kweli, tuishi kwa kutia juhudi basi nchi itatoa mazao kutoka mbinguni. Hii ni kanuni ya utayari kwamba chochote unachokita lazima uwe ndani ya kitu hicho. Tumaini lako linakwenda moja kwa moja kwenye kile unachotaka, yaani katika dhamiri yako kinachobaki kwako ni kukamirisha kwa matendo ya nje. Yesu aliwafundisha watu hivi; MATHAYO 5:28, lakini mimi nawambia, kila mtu amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. Kwa hali hii, utayari wako ndani mwako ndio unakufikisha kulizia kwa matendo ya nje.

Hata kama kile ambacho ninakitaka bado sijakipata, tayari katika dhamiri yangu ninacho. Watu wengi hawapati kile ambacho wanakitaka kwa sababu hawana msingi ni wapo tu na hawa ni wale watu ambao waningiliwa na chochote ndani mwao. Msingi au uhai wa mtu ni matuamini. Yaani ili uwe hai lazima uwe na matuamaini. Fikiri kitu hiki, maji ya mto, ni matamu sana na maji ya bahari hayana ladha ni chumvi tupu, sasa ukiyaangalia maji ya mto tumaini lake ni kufika baharini, lakini yale ni maji ambayo yanatumaini la kufika baharini na yakisha kufika baharini yanakufa, hayafai tena. Kwahiyo hatuishi mafanikio bali tunayaishi mafanikio.

Je! unamatumaini? Kila mtu anandoto yake katika maisha na kama hujalijua hilo basi utapelekwa na chochote. Kama unataka kuishi kitu fulani sasa huo bdio wakati wa kuishi kitu hicho. Imani ni kuishi matuamini na ile hatua unayochukua ndiyo inayoitwa utayari.

Kama unamatumaini ya kuwa tajiri basi ishi utajiri wenyewe kwani huwezi kuufikia utajiri ila utauuishi utajiri hapa duniani. Na ndio maana ni rahisi kupoteza vitu kwani vitu hivi si vya duniani.

Kama unataka kuishi furaha ishi furahu, ondoa msemo nataka, hapana, ishi yenyewe furaha,

Kama unataka kuwa na matumaini na Mungu kama mimi ishi hivo kwani yeye ameahidi kwamba wote wanao mtumainia yeye watapata wokovu.

Kwa imani ya tumaini lako ishi utayari.

Msamehe mtu kabla hujakosewa.
Furahia maisha kabla ya kufurahishwa.
 Hurumia watu kabla hujaonewa huruma.
Penda watu kabla ya kupendwa.

Siku zote za maisha yako kuwa mzalishaji na sio mtumiaji. Unapaswa kuwa kiwanda kinachozalisha na sio mtumiaji.

Kitu kimoja ambacho unapaswa kutambua ni hiki, kuna aina tatu za utayari;
1.Kila kitu unachokiona kwako ni kibaya tu hapo umechagua tumaini la kifo.
2.Kila linalotokea kwako ni mema na mabaya hapo umechagua kuteseka. Kama ni tumaini kwa Mungu unakuwanalo kidogo kidogo , na
3. Kila linalotokea kwako ni jema tu, hapo umechagua kuishi furaha.  Tumaini lako kwa Mungu ni kubwa maana Mungu ni mwanzo wa amani.

Lakini kitu kingine ambacho unapaswa kutambua ni kwamba, katika ulimwengu kuna nguvu mbili, nguvu ya shetani na nguvu Mungu. Nguvu ya shetani siku zote ni kukunyima wewe furaha tu na kulaumu wengine na nguvu ya Mungu ni amani na upendo kwa wengine. Unachopaswa kutambua ni kwamba, nguvu mbaya haihitaji wewe uchukue hatua, ipo tu, wakati wote lakini nguvu nzuri inahitaji wewe uchukue hatua.

Kuwa na matumaini ili uwe hai. Kama unamatumaini na Mungu, nina kitabu kwaajili yako, kitabu ambacho kitakusaidia wewe kumtumaini Mungu ukiwa chini ya haki yake. Chukua hatua anza kusoma Biblia maana humo muna uzima. Ombi langu kwako wewe, naomba sana, nisaidie kusambaza makala hivi, vile uwezavyo. utakuwa umefanya kazi ya Bwana na Mungu akubariki.

Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.

Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ►  2019 (46)
    • ►  December (4)
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ▼  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ►  October (29)
    • ▼  September (43)
      • Toa Ulichonacho, Anzia Hapo Ulipo.
      • Panda Mti Leo.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..13] Hatupokei Haki Ya Mungu...
      • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.
      • Usijikinai Ndugu, Utaoza.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..12] Injili Ya Maji Na ROHO....
      • Utukufu Ni Wa Mungu.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..11] Je! Ufanye Nini Wakati ...
      • Watu Hawatakosa La Kusema, Endelea Kufanya Unachop...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...10] Hamna Namna, Mshangaze...
      • Endelea Kufanya Yanayofaa.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...9] Ukimpokea Yesu Onyesha...
      • Hii ndio Njaa Kubwa Ya Dunia Ya Sasa.
      • Tumia Makombo Ya Wakati Wako Kujisomea Neno La Mungu.
      • Naomba Uniambie Rafiki Yangu, Unaishije Na Watu Wa...
      • Una Shina La Kukupeleka Katika Ushindi.
      • Je! Mungu Atakuwepo Au Hatakuwepo?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..8] Mambo Mawili Ambayo Huon...
      • Ukiona Unaliamini Jambo Na Huishi Hilo Jambo Basi ...
      • Je! Unapanda, Au Unashuka Bondeni?
      • Huwezi Kuuona Umuhimu Wa Maji Mpaka Visima Vikauke.
      • Kuijua Imani Na Kuishi Maisha Ya Ushindi.
      • Ukiona Fursa Hazigongi Mlango Jenga Mlango.
      • Jenga Tabia Hii Nayo Tabia Itakujenga Katika Mahus...
      • Gharama Ya KupataVitu Vizuri Vinavyokupeleka Katik...
      • [TAFAKALI NENO YA LEO...7] Ondoleo La Hofu Na Mais...
      • [TAFAKARI HEKIMA ZA WAZEE], Kuwaelewa Wengine, Kuj...
      • Alituchagua Tangu Tukiwa Na Dhambi. [Kwa Imani Tun...
      • Kanuni Ya Kibiblia Ambayo Inaweza Kukusaidia Kupan...
      • Utabiri Wa Nabii Danieli Juu Ya Injili Ya Maji Na ...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...6] Tumeandaliwa Mazingira ...
      • Umezaliwa Wa Kipekee Sana Lakini Watu Ndio Kioo Ch...
      • (TAFAKARI NENO YA LEO...5) Kama Una Tumaini Basi T...
      • Hakuna Mtu ambaye Hana Kabisa Katika Maisha.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..4] Mtumainie Mungu Usikate ...
      • Hii Ni Bahati Yako Au Ni Wakati Sahihi Kwako?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO 3] Usiende Kwa Mganga Siku Y...
      • Tunapokea Na Kutoa Kutokana Na Utayari Tulionao....2
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...2] Je! Unataka Kuwa Na Fur...
      • Geuza Machungu Yako Kuwa Ushindi.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO ...1] Jinsi Chuki Zinavyoene...
      • Tafakari Neno Ya Siku.
      • Tunapokea Na Kutoa Kwa Utayari Tulionao.
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ►  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ►  August (4)
    • ►  July (3)
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI


ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates