JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Thursday, September 13, 2018

Utabiri Wa Nabii Danieli Juu Ya Injili Ya Maji Na ROHO Inayotutakasa Hivi Sasa.

 Sadick Kilasi     September 13, 2018     KUFURAHIA MAISHA     No comments   

Kama ndio mara yako ya kwanza kuisikia injili ya Maji na Roho basi hakikisha ujanajipatia kitabu cha UKRISTO NA MAISHA bure kabisa ambapo kwenye kitabu hicho nimeelezea kwa undani juu ya injili hii. Kama bado hujaokolewa na kusafishwa dhambi zako basi rafiki yangu, hakikisha unajipatia kitabu hiki ambacho mimi natoa bure kabisa. Kwa kuifahamu injili ya maji na Roho na kuijua kwa undani, hiyo itakupa haki wewe ya kufanyika mwana wa Mungu ikiwa utaiamini baada ya kutakaswa na kusafishwa dhambi zako. Kwahiyo unapoiamini injili hii unatakaswa dhambi zako ndani ya moyo wako.

Nabii Danieli ni mmoja wa manabii ambao walitabiri juu ya injili ya Maji na Roho. Japo na manabii wengine walitabiri hili lakini leo ningependa tuangalie kwa ufupi juu ya utabirii wa Danieli. Tunazidi kuiongelea injili hii kwa upana zaidi ili tupate kujijenga zaidi juu ya utambuzi wa injili hii. Na kwa kadiri ambavyo tunazidi kuifahamu ndivyo tunazidi kupata haki juu ya hili. Maana maneno matakatifu yanasema, Luka 6:48, Mfano wake ni mtu ajengaye nyumba, na kuchimba chini sana, na kuweka msingi juu ya mwamba; na kulipokuja gharika, mto ulichukia nyumba ile kwa nguvu, usiweze kuitikisa; kwa kuwa imejengwa vizuri.
Kiukweli katika maisha yangu naifurahia sana injili hii ambayo imenifanya kuwa mwana wa Mungu na inanipa haki ya kujiita kwamba mimi sina dhambi, na kweli sina dhambi.

Nabii Danieli alitabiri juu ya injili hii, japokuwa hakuizungumzia kwa undani lakini alitabiri juu ya watu wawili ambao walitupa haki ya sisi kufanyika watoto wa Mungu. Watu hao ni Yohana na Yesu mwenyewe. Watu hao ndio walifanya tendo ambalo sasa hivi linatufanya tufurahie maisha bila wasiwasi na kuondolewa mizigo yetu.

Danieli 12:5-10, Ndipo mimi, Danieli, nikatazama, na kumbe, wamesimama wengine wawili, mmoja ukingo wa mto upande huu, na mmoja ukingoni mwa mto upande wa pili. Na mmoja akumwuliza yule mtu aliyevikwa nguo za kitani, aliyekuwa juu ya maji ya mto, Je! itakuwa muda wa miaka mingapi hata mwisho wa mambo haya ya ajabu? Nami nikamsikia yule mtu aliyevikwa nguo za kitani, aliyekuwa juu ya maji ya mto, hapo alipoinua mkono wake wa kuume na mkono wake wa kushoto kuelekea mbinguni, akaapa kwa yeye aliye hai milele na milele, ya kwamba itakuwa wakati, na nyakati mbili na nusu wakati; tena watakapokuwa wamevujwa nguvu za hao watakatifu, ndipo mambo hayo yote yatakapotimizwa. Nami nikasikia lakini sikuelewa; ndipo nikasema, Ee BWANA wangu, mwisho wa mambo hayo itakuwaje? Akasema, enenda zako, Danieli; maana maneno haya yamefungwa, na kutiwa muhuri, hata wakati wa mwisho. Wengi watajitakasa, na kujifanya weupe, na kusafika, bali wabaya watatenda mabaya; wala hataelewa mtu mbaya awaye yote; bali walio na hekima ndio watakaoelewa.


Hii ni injili ambayo nabii Danieli aliitabiri na kwahiyo watu tunaokolewa kwa hiyo. Pale Yesu alipobatizwa na Yohana Mbatizaji katika mto Yordani ndipo dhambi zetu alizibeba na kwaajili ya dhambi hizo akateswa msalabani na kufa na kwa uweza wa Roho akafufuka na sasa yupo hai. Yupo hai sasa na ndiye anayetubatiza kwa Roho Mtakatifu. Yeyote ambaye atamwamini Yesu kwamba alikuja katika maji, damu na Roho katika ufufuko wake huyo ataokolewa. Yesu yupo hai ndiye anayebatiza watu kwa Roho Mtakatifu. Je unauamini ubatizo ambao Yesu alibatizwa na Yohana Mbatizaji kama kuhani mkuu wa wawanadamu? Je! unaamini kwamba kwaajili ya dhambi zako aliteswa msalabani? Je! unaamini alikufa kwa sababu ya dhambi zako na sasa yupo hai baada ya kukufuliwa kutoka kwa wafu kwa uweza wa Roho wa Mungu? Kama ndiyo, basi unapaswa kuomba ombi hili;

MIMI MTU FULANI [vizuri utaje jina lako], NIMEZALIWA KATIKA KIZAZI CHA DHAMBI, MIMI NI MTENDA DHAMBI SIKU ZOTE, NATENDA DHAMBI WAKATI WOTE NA KWAAJILI YA DHAMBI ZANGU MWISHO WANGU NI MOTONI LAKINI SASA NINAKUAMINI WEWE MUNGU YA KWAMBA ULIMTOA MWANAO WA PEKEE, KWA UBATIZO WAKE ALIOBATIZWA NA YOHANA KATIKA MTO YORDANI DHAMBI ZANGU ZILICHUKULIWA NA YESU NA KWAAJILI YA DHAMBI ZANGU AKATESWA MSALABANI, AKAFA, AKAFUFUKA KWA UWEZA WA ROHO, NA SASA YUPO HAI. EYE YESU NAOMBA UNIBATIZE KWA ROHO MTAKATIFU.


Sasa baada ya ombi hili, unapaswa kuonyesha kwamba umeamini, mshukuru Mungu kwaajili ya tendo hilo alilolifanya, anza kuishi kwa upendo na watu na huku ukimwomba Mungu akuongoze katika hatua za maisha yako.Kwa wakati huu epuka kupenda kulaumulaumu wakati wote lakini maombi ya shukrani na yatawale katika kinywa chako. Tayari umefanyika mwana wa Mungu, tegemea kuwasaidia watu ni si kupokea tu. Jitaidi kusoma neno la Mungu maana kwa kadili unavosoma mwenyewe ndivyo unavyozidi kupata haki na kwenye kitabu kitakatifu Mungu anaonekana zaidi. Shukrani, ependo, uvumilivu na kujali usawa katika maamuzi ni jambo ambalo linapaswa kutawala katika katika maisha yako. Kwa sababu anayebatiza ni Yesu mwenyewe na lazima utambue kabisa kwamba Mungu anaelewa namna unavyofikiria na unavyotenda, kwa hiyo jiweke katika uwepo wa Mungu wakati wote. Yesu, atatimiza mapenzi yake na mapenzi yake siku zote ni wewe kuamini kile anachokupa na kukipokea. Mwombe Mungu akujulishe kiashilia cha kupokea Roho Mtakatifu. Swala hili ni siri ya moyo wako na wewe na kazana kutenda mema. Asante

Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.

Mawasiliano ni sadikila65@gmail.com au 0687000768.
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ►  2019 (46)
    • ►  December (4)
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ▼  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ►  October (29)
    • ▼  September (43)
      • Toa Ulichonacho, Anzia Hapo Ulipo.
      • Panda Mti Leo.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..13] Hatupokei Haki Ya Mungu...
      • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.
      • Usijikinai Ndugu, Utaoza.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..12] Injili Ya Maji Na ROHO....
      • Utukufu Ni Wa Mungu.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..11] Je! Ufanye Nini Wakati ...
      • Watu Hawatakosa La Kusema, Endelea Kufanya Unachop...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...10] Hamna Namna, Mshangaze...
      • Endelea Kufanya Yanayofaa.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...9] Ukimpokea Yesu Onyesha...
      • Hii ndio Njaa Kubwa Ya Dunia Ya Sasa.
      • Tumia Makombo Ya Wakati Wako Kujisomea Neno La Mungu.
      • Naomba Uniambie Rafiki Yangu, Unaishije Na Watu Wa...
      • Una Shina La Kukupeleka Katika Ushindi.
      • Je! Mungu Atakuwepo Au Hatakuwepo?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..8] Mambo Mawili Ambayo Huon...
      • Ukiona Unaliamini Jambo Na Huishi Hilo Jambo Basi ...
      • Je! Unapanda, Au Unashuka Bondeni?
      • Huwezi Kuuona Umuhimu Wa Maji Mpaka Visima Vikauke.
      • Kuijua Imani Na Kuishi Maisha Ya Ushindi.
      • Ukiona Fursa Hazigongi Mlango Jenga Mlango.
      • Jenga Tabia Hii Nayo Tabia Itakujenga Katika Mahus...
      • Gharama Ya KupataVitu Vizuri Vinavyokupeleka Katik...
      • [TAFAKALI NENO YA LEO...7] Ondoleo La Hofu Na Mais...
      • [TAFAKARI HEKIMA ZA WAZEE], Kuwaelewa Wengine, Kuj...
      • Alituchagua Tangu Tukiwa Na Dhambi. [Kwa Imani Tun...
      • Kanuni Ya Kibiblia Ambayo Inaweza Kukusaidia Kupan...
      • Utabiri Wa Nabii Danieli Juu Ya Injili Ya Maji Na ...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...6] Tumeandaliwa Mazingira ...
      • Umezaliwa Wa Kipekee Sana Lakini Watu Ndio Kioo Ch...
      • (TAFAKARI NENO YA LEO...5) Kama Una Tumaini Basi T...
      • Hakuna Mtu ambaye Hana Kabisa Katika Maisha.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..4] Mtumainie Mungu Usikate ...
      • Hii Ni Bahati Yako Au Ni Wakati Sahihi Kwako?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO 3] Usiende Kwa Mganga Siku Y...
      • Tunapokea Na Kutoa Kutokana Na Utayari Tulionao....2
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...2] Je! Unataka Kuwa Na Fur...
      • Geuza Machungu Yako Kuwa Ushindi.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO ...1] Jinsi Chuki Zinavyoene...
      • Tafakari Neno Ya Siku.
      • Tunapokea Na Kutoa Kwa Utayari Tulionao.
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ►  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ►  August (4)
    • ►  July (3)
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI


ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates