JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Monday, September 17, 2018

[TAFAKALI NENO YA LEO...7] Ondoleo La Hofu Na Maisha Ya Ushindi.

 Sadick Kilasi     September 17, 2018     KUFURAHIA MAISHA, NJOZI     No comments   

Ili kuhakikisha kwamba kila mmoja anaondokewa na utumwa wa hofu ya kifo, dhambi, ubinafsi, kutengwa, kudhalauliwa, utumwa katika jambo fulani, ukosefu wa hekima na maarifa, hofu ya kutembelewa na nguvu za kishetani na mambo mengine yote, Mungu alifanya kitu kimoja, alimtoa mwanaye Yesu Kristo ili kila amwaminiye apate kufunguliwa kwa hivyo.

Hakuna mtu ambaye anamwamini Mungu harafu akawa na hofu ndani yake, hicho kitu hakipo, haijarishi upo katika wakati gani, ikiwa unamwamini Mungu basi hofu hawezi kukutawala muda wote.

Maisha ya ushindi ni maisha ambayo tayari Mungu alishatuandalia mwanadamu. Na kuonyesha hilo aliondoa udhaifu wote ambao unaweza kumtawala mwanadamu wakati analiendea tumaini lake.  Ni wazi kwamba Mungu alitaka tufurahie maisha wakati tunaliendea tumaini letu. Kila mmoja ana njozi yake, japo hazifanani ukubwa lakini kila mmoja anatumaini lake, haijarishi unaishije. Japo kuwa  unaweza usielewe kwamba unamatumaini lakini ukweli ni kwamba kila mmoja anamatumaini. Kila mmoja anataka kuifikia kesho lakini ili uifikie kesho kwa ushindi mkubwa unapaswa unapaswa kuishi leo kwa ushindi mkubwa. Ukiijenga leo vizuri basi kesho yako utapanda ngazi inayofuata.

Upo umuhimu wa kuondoa hofu ndani yako na kuishi maisha ya furaha kwa sababu furaha ndiyo nguvu yako wewe. Kama umekuwa na hofu ya jambo fulani, kuna watu wana hofu na familia zao, akirudi nyumbani mwenza wake anamsumbua kweli, matatizo hayaishi, kuna watu wana hofu ya kulogwa, kuna watu wana hofu na giza, kuna watu wanahofu ya kuumia, nazungumzia kila aina ya hofu, hofu zote usikubali zikutawale na zikufanye uwe mwoga. Chochote unachokiogopa ni kidogo kuliko unavyokiogopa.Hofu ni kubwa kuliko hicho.


Udhaifu wote ulibebwa, machungu yote yalibebwa, hakuna hofu ndani ya Mungu. Kama unataka kuishi mafanikio ishi mafanikio. Kama unataka kuishi upendo ishi upendo, kama unataka kuishi furaha ishi furaha, kama unataka kuishi unyenyekevu ishi unyekevu. Siku zote za maisha yako ishi utayari unaotaka. Ishi matumiani yako kwa nguvu zako zote.

Usisahau kusoma neno la Mungu ndiko utakakopata haki ya kuishi maisha ya ushindi.

Nafarijika sana nikiutafakari muujiza huu, ambao Yesu aliufanya, Marko 8:22-26, Yesu akafika Bethsaida pamoja na wanafunzi wake. Huko watu wakamletea kipofu, wakamwomba amguse. Yesu akamshika huyo kipofu mikono, akampeleka nje ya kijiji. Akamtemea mate machoni, akamwekea mikono,akamwuliza, Je, unaweza kuona kitu? Huyo kipofu akatazama, akasema, ninawaona watu wanaonekana kama miti inayotembea. Kisha Yesu akamwekea mikono machoni, naye akakaza macho, uwezo wake wa kuona ukamrudia, akaona kila kitu sawsawa. Yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, usirudi kijijini!


Yesu alikuwa namwonesha kwamba, huyo kipofu, kwamba mimi ndiye niliye kuumba kwa udongo, kwa kumtemea mate machoni lakini kipofu alikuwa haoni vizuri, anaona watu kama miti inatembea, akampa msaaada tena, akamwekea mikono machoni , kipofu akakazana kuona akaona.

Sio kwamba Yesu katuponya anataka uwe sasa unalala tu, hapana, unapopewa msaada na wewe unesha ushilikiano nawe utaona. Kazana rafiki yangu, maana neno linasema ingieni kwa mlango mwembamba, basi kama ni mlango ndani kuna bwalo. Ina wezekana kuwa huwa unasoma neno harafu huelewi lakini ninachota kukwambia kazana kusoma, Mungu ameweka mikono kwenye macho yako, utaufikia ushindi.

Usifikilie udhaifu, kwani hakuna udhaifu ulobaki, zaidi ya ushindi peke yake. Badili hofu yako kuwa ushindi. Geuza magumu yako kuwa ushindi, ona kwa uzuri kwenye kila jambo.

Nisaidie kushiriki makala hizi kwa marafiki zako ili nao waponywe. Asante, Mungu akubariki.

Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.

Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ►  2019 (46)
    • ►  December (4)
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ▼  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ►  October (29)
    • ▼  September (43)
      • Toa Ulichonacho, Anzia Hapo Ulipo.
      • Panda Mti Leo.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..13] Hatupokei Haki Ya Mungu...
      • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.
      • Usijikinai Ndugu, Utaoza.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..12] Injili Ya Maji Na ROHO....
      • Utukufu Ni Wa Mungu.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..11] Je! Ufanye Nini Wakati ...
      • Watu Hawatakosa La Kusema, Endelea Kufanya Unachop...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...10] Hamna Namna, Mshangaze...
      • Endelea Kufanya Yanayofaa.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...9] Ukimpokea Yesu Onyesha...
      • Hii ndio Njaa Kubwa Ya Dunia Ya Sasa.
      • Tumia Makombo Ya Wakati Wako Kujisomea Neno La Mungu.
      • Naomba Uniambie Rafiki Yangu, Unaishije Na Watu Wa...
      • Una Shina La Kukupeleka Katika Ushindi.
      • Je! Mungu Atakuwepo Au Hatakuwepo?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..8] Mambo Mawili Ambayo Huon...
      • Ukiona Unaliamini Jambo Na Huishi Hilo Jambo Basi ...
      • Je! Unapanda, Au Unashuka Bondeni?
      • Huwezi Kuuona Umuhimu Wa Maji Mpaka Visima Vikauke.
      • Kuijua Imani Na Kuishi Maisha Ya Ushindi.
      • Ukiona Fursa Hazigongi Mlango Jenga Mlango.
      • Jenga Tabia Hii Nayo Tabia Itakujenga Katika Mahus...
      • Gharama Ya KupataVitu Vizuri Vinavyokupeleka Katik...
      • [TAFAKALI NENO YA LEO...7] Ondoleo La Hofu Na Mais...
      • [TAFAKARI HEKIMA ZA WAZEE], Kuwaelewa Wengine, Kuj...
      • Alituchagua Tangu Tukiwa Na Dhambi. [Kwa Imani Tun...
      • Kanuni Ya Kibiblia Ambayo Inaweza Kukusaidia Kupan...
      • Utabiri Wa Nabii Danieli Juu Ya Injili Ya Maji Na ...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...6] Tumeandaliwa Mazingira ...
      • Umezaliwa Wa Kipekee Sana Lakini Watu Ndio Kioo Ch...
      • (TAFAKARI NENO YA LEO...5) Kama Una Tumaini Basi T...
      • Hakuna Mtu ambaye Hana Kabisa Katika Maisha.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..4] Mtumainie Mungu Usikate ...
      • Hii Ni Bahati Yako Au Ni Wakati Sahihi Kwako?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO 3] Usiende Kwa Mganga Siku Y...
      • Tunapokea Na Kutoa Kutokana Na Utayari Tulionao....2
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...2] Je! Unataka Kuwa Na Fur...
      • Geuza Machungu Yako Kuwa Ushindi.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO ...1] Jinsi Chuki Zinavyoene...
      • Tafakari Neno Ya Siku.
      • Tunapokea Na Kutoa Kwa Utayari Tulionao.
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ►  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ►  August (4)
    • ►  July (3)
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI


ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates