JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Friday, September 28, 2018

Usijikinai Ndugu, Utaoza.

 Sadick Kilasi     September 28, 2018     KUFURAHIA MAISHA, NJOZI     No comments   

Kuna watu wamejikinai na maisha yao kwa sababu wamekataliwa na wale waliowapenda na  sasa wanaamini wamekosa tumaini tena, mpendwa utaoza, tena utatoa harufu mbaya, utakuwa hufai kitu. Simama maisha ni ya kwako.

Kuna watu ambao wamejikinai kwa sababu ya hofa ya mapito yao  mpendwa amka, la sivyo utaoza, utatoa harufu mbaya, utakuwa hufai kitu. Simama maisha ni ya kwako, njia bado ipo.

Kuna watu wamekinai safari yao ya mafanikio, wamejikinai kabisa, mpemdwa, utaoza, amka, dunia inakuhitaji sana wewe katika kufika mahali fulani pa kujenga watu.

Kuna watu wamejikinai mahusiano yao, mpendwa, utanuka, vaaa viatu vya utayari, la sivyo dunia itakufanya unuke. Kumbuka ulipodindoka ukajenge hapo.

Mpendwa wapo watu ambao ni mfano kwetu ambao waliishi matumaini licha ya kwamba waliteseka kwa miaka mingi mingi. Mwana mke aliyetokwa na damu miaka kumi na mbili, akatengwa na jamii lakini bado alikuwa na tumaini. Ameenda kwa waganga wengi wakashindwa lakini bado alikuwa anatumaini, hakujikinai, aliona bado fursa, alipomwona Yesu licha ya kwamba watu wengi walikuwa wamemsonga Yesu, alijiambia nafsini mwake bado hapa pana njia, nikigusa tu pindo la vazi lake kwa kidole changu nitapona, alichukua hatua, akapona.

 Mpendwa msomaji, Batimayo kipofu, licha kuishi miaka mingi kama ombaomba na kipofu lakini bado alikuwa na matumaini, hakujikinai bado alikuwa hai kwa matumaini yake, alichukua hatua alipoona fursa, aliita kwa nguvu akapata haki yake.

Watu wanaweza kukupinga, watu wanaweza kukuzalau, watu wanaweza kukuchukulia kawaida lakini kama wewe unamatumaini ishi matumaini yako. Watu wengi mnapatana kwa sababu mnaendana mnachofanya lakini siku ambayo utanuia kufanya mageuzi ya maisha yako, rafiki yako wa kwanza, hatakuwa rafiki yako wa kwanza, wengine watakupinga kabisa, wengine watasema unajidai, wengine watasema wanachotaka kusema.

Lakini nikwambie kitu kimoja lazima uwe chumvi ya ulimwengu, inayofaa kuungwa na kutumika, usifanye mambo kwa mazoea utanuka. Kuna wakati unaweza kufika upo peke yako kwa sababu ya maamuzi uliyochukua, wacha dunia ikutenge tu kwa muda, wacha wajitokeze watu ambao Mungu kakuandalia watu wa dizaini yako, wewe endelea kufanya linalofaa la sinyo utanuka utatoa harufu.

Ikiwa unaangalia watu na kusema watu watanionaje basi unahatari ya kupolopoka zaidi yao kwani wewe waonyesha upo chini yao, chukua maumivu kwa kitambo lakni ushindi upo mbele yako. La sivyo utanuka, utatoa harufu.

Usikubali kupoteza kwa sababu unahisi huna mwelekeo, njia ipo, fanya unalofanya, usikubali hisia zikuongoze, hisia zinahtaji kukufuata wewe baada ya kuchukua maamuzi, usikubali kufa moyo kwa sababu huna pa kuanzia, ndugu, kumbuka ulikuja dunia bila nguo na hata mwili ulikuwa huna, aliyekuvisha mwili atakusaidia, alikuvisha nguo hawezi kukuacha. Paza sauti yako.

Usikubali kunuka katika kila eneo la maisha, kama umeanza kufanya kitu endelea kupiga juhudi, kama hujaanza amka sasa wewe uliyekufa, nuru ikuangazie sasa, kama unahisi watu wanakutenga chukua jukumu lako dunia ndivyo ili hata Yesu mwisho wa kuelekea katika maamuzi magumu hakuna hata mwanafunzi wake aliyeogozana naye lakini mwisho alijipatia watu wengi zaidi na hata wale waliomtenga walikuwa wanamtukza. Wapo watu kwa siri wanakupenda, wapo watu kwa siri wanatamani kuwa na hicho ulichonacho, wapo watu ambao wanatamani kuwa mashabiki zako, una kila aina ya watu, chukua jukumu la maisha yako.

Kuwa na matumaini, ishi matumaini, amini matumaini yako. Wacha dunia iongee inachotaka kuongea lakini usikubali kunuka, usikubali kuwa chumvi ambayo haifai kitu, usikubali kuwa nguo kuukuu, usikubali kutoa harufu mbaya, dunia itatengeneza njia ya wewe kupita. Asante.

Kama bado hujapata kitabu cha UKRISTO NA MAISHA, ili uanze maisha mapya yenye matumaini mapya. Uwe na nguvu ya safari yako ya mafanikio. Kwa kusoma kitabu hichi na kukiamini, utapokea kipawa cha Roho Mtakatifu, ambavyo ni; uvumilivu, upendo, amani, furaha, kiasi na vingine ambavyo ni siraha katika safari ya mafanikio. Usijikinai Ngugu, utanuka, bado kunatumaini. Nisaidie kusambaza makala hii, asante.

Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.

Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ►  2019 (46)
    • ►  December (4)
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ▼  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ►  October (29)
    • ▼  September (43)
      • Toa Ulichonacho, Anzia Hapo Ulipo.
      • Panda Mti Leo.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..13] Hatupokei Haki Ya Mungu...
      • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.
      • Usijikinai Ndugu, Utaoza.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..12] Injili Ya Maji Na ROHO....
      • Utukufu Ni Wa Mungu.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..11] Je! Ufanye Nini Wakati ...
      • Watu Hawatakosa La Kusema, Endelea Kufanya Unachop...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...10] Hamna Namna, Mshangaze...
      • Endelea Kufanya Yanayofaa.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...9] Ukimpokea Yesu Onyesha...
      • Hii ndio Njaa Kubwa Ya Dunia Ya Sasa.
      • Tumia Makombo Ya Wakati Wako Kujisomea Neno La Mungu.
      • Naomba Uniambie Rafiki Yangu, Unaishije Na Watu Wa...
      • Una Shina La Kukupeleka Katika Ushindi.
      • Je! Mungu Atakuwepo Au Hatakuwepo?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..8] Mambo Mawili Ambayo Huon...
      • Ukiona Unaliamini Jambo Na Huishi Hilo Jambo Basi ...
      • Je! Unapanda, Au Unashuka Bondeni?
      • Huwezi Kuuona Umuhimu Wa Maji Mpaka Visima Vikauke.
      • Kuijua Imani Na Kuishi Maisha Ya Ushindi.
      • Ukiona Fursa Hazigongi Mlango Jenga Mlango.
      • Jenga Tabia Hii Nayo Tabia Itakujenga Katika Mahus...
      • Gharama Ya KupataVitu Vizuri Vinavyokupeleka Katik...
      • [TAFAKALI NENO YA LEO...7] Ondoleo La Hofu Na Mais...
      • [TAFAKARI HEKIMA ZA WAZEE], Kuwaelewa Wengine, Kuj...
      • Alituchagua Tangu Tukiwa Na Dhambi. [Kwa Imani Tun...
      • Kanuni Ya Kibiblia Ambayo Inaweza Kukusaidia Kupan...
      • Utabiri Wa Nabii Danieli Juu Ya Injili Ya Maji Na ...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...6] Tumeandaliwa Mazingira ...
      • Umezaliwa Wa Kipekee Sana Lakini Watu Ndio Kioo Ch...
      • (TAFAKARI NENO YA LEO...5) Kama Una Tumaini Basi T...
      • Hakuna Mtu ambaye Hana Kabisa Katika Maisha.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..4] Mtumainie Mungu Usikate ...
      • Hii Ni Bahati Yako Au Ni Wakati Sahihi Kwako?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO 3] Usiende Kwa Mganga Siku Y...
      • Tunapokea Na Kutoa Kutokana Na Utayari Tulionao....2
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...2] Je! Unataka Kuwa Na Fur...
      • Geuza Machungu Yako Kuwa Ushindi.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO ...1] Jinsi Chuki Zinavyoene...
      • Tafakari Neno Ya Siku.
      • Tunapokea Na Kutoa Kwa Utayari Tulionao.
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ►  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ►  August (4)
    • ►  July (3)
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI


ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates