JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Tuesday, September 18, 2018

Gharama Ya KupataVitu Vizuri Vinavyokupeleka Katika Maisha Ya Ushindi.

 Sadick Kilasi     September 18, 2018     NJOZI     No comments   

Kuishi maisha ya ushindi ni chaguo. Lakini inahitaji kulipa ghaarama kubwa sana ya unyenyekevu na kujitoa ili kufikia kile unachotaka. Kiukweli katika kuishi unapaswa kuelewa jambo moja vitu vizuri vinahitaji gharama kubwa sana. Kuna watu ambao huwa wanapenda sana kusikia maswala ya bahati na kuona labda watu waliofikia maeneo fulani wana bahati, lakini sijui huwezi kujua amelipa gharama kiasi gani.

Yesu mwenyewe alifundisha kwamba ingieni kwa mlango mwembamba, Mathayo 7:13-14, Ingieni kwa kupitia mlango mwembamba. Kwa maana njia inayoongoa kwenye maangamizi ni pana, na mlango wa kuingilia humo ni mpana; waendao katika njia hiyo niwengi. Lakini njia inayowaongoza kwenye uhai in nyembamba, na mlango wa kuingia humo ni mwembamba; ni watu wachache tu wanaweza kugundua njia hiyo.

Hii kiukweli ni sheria ya dunia na Mungu mwenyewe ndiye aliyeileta ndiyo asili. Wewe jifunze kitu kimoja, chakula ambacho tunakula ni kingi lakini vipi chakula ambacho huto kama uchafu si vipo sawa tu, ni kiasi kidogo tu ambacho hubakia mwilini na kufanya kazi. Na hichokiasi kidogo ndicho kinachofaa mwilini.

Wachimbaji wa madini hufukua ardhi kiasi kwamba wanachotafuta ni kikubwa sana lakini kumbe wanachota ni kido sana na kinadhamani kubwa sana. Hubomoa miamba na kufukua sana lakini wanachotaka wakikifikia huwezi kufananisha na jinsi walivyofukua.

Chochote ambacho unakitaka ni lazima uwetayari kujua kitu hiki ni lazima nili gharama ya wakati na nguvu nyingi kwa sababu vitu vizuri huwa havipatikani hivi hivi.

Mathayo 11:28-30, Njoni kwangu nyinyi nyote msumbukao na kuelemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jifungeni nira yangu, mkajifunze kwangu, maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtatuliwa rohoni mwenu. Maana nira niwapayo mimi ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.

Ukisoma mstari wa kwanza na kuishia hapo, unaweza kufikiri ni jambo jepesi lakini jambo ambalo unapaswa kulipa gharama. Kuna wakati mwingine huwa namwomba Mungu anifundishe kusikia sauti yake na ukumbuke sauti ya Mungu ni nyembamba sana inahitaji utulivu mkubwa sana lakini ukimwomba Mungu unajikuta yanayojitokeza ni mengine zaidi ulivyokuwa unafikiri, lakini ukweli ni kwamba Mungu anatuletea ile hali ili tujifunze sasa.

Ikiwa wewe unasumbukiwa na mizigo ni lazima uvae utayari utakao kupeleka katika ushindi. Watu ambao wanasoma vitabu wanatambua hili, kwamba utasoma kitabu kizima lakini kitu ambacho unaenda kukiambulia ni kidogo tu. Ni lazima yasiyofaa yachujwe linalofaa lichukuliwe.

 Inawezekana unasema, Sadick amenipatia kitabu cha injli ya maji na Roho lakini nimeamini lakini hakijafanya kazi, ndiyo umeamini lakini ni lazima uvae utayari ambao unakuonyesha kwamba umetubu, badili fikra zako kabisa, jifunze kwani ufalme wa Mungu unapatikana kwa Nguvu na wenye nguvu huuteka. Moja ya jambo ambalo unapaswa kutambua rafiki yangu ni hili, ikiwa tayari umehubiriwa injili, kajifunze jambo moja hili, Yesu alipokuwa anaingia Yerusalemu alienda hekaluni, aliingia ndani akangalia pemde za hekalu akaondoka, kesho yake asubuhi akiwa ametoka mjini akaona mtini yeye alikuwa na njaa lakini mti ulikuwa hauna matunda akaulaani usizae matunda tena, akaenda hekaluni akaanza kufukuza wafanyabiashara.

Mpendwa msomaji, Mimi ninakuambia ukweli kuna nafasi ambayo wewe mwenyewe binafsi unapaswa kuonyesha kwamba unafanya juhudi na Mungu atakusaidia pale ambapo huwezi.

Wakati wote, jitaidi kuonyesha kwamba unataka kulekea mahali katika tumaini lako. Endelea kujifunza polepole huku ukitia jududi zaidi. Ukiona umeandamwa na mabaya mengi, tunaweza kujaza na kujifunza uzuri mwingi. Mungu anakuona namna ambavyo utakuwa unajitaidi. Asante.

Naomba unisaidie kushare makala hii kwa marafiki zako, nisaidie. Asante.

Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.

Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ►  2019 (46)
    • ►  December (4)
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ▼  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ►  October (29)
    • ▼  September (43)
      • Toa Ulichonacho, Anzia Hapo Ulipo.
      • Panda Mti Leo.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..13] Hatupokei Haki Ya Mungu...
      • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.
      • Usijikinai Ndugu, Utaoza.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..12] Injili Ya Maji Na ROHO....
      • Utukufu Ni Wa Mungu.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..11] Je! Ufanye Nini Wakati ...
      • Watu Hawatakosa La Kusema, Endelea Kufanya Unachop...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...10] Hamna Namna, Mshangaze...
      • Endelea Kufanya Yanayofaa.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...9] Ukimpokea Yesu Onyesha...
      • Hii ndio Njaa Kubwa Ya Dunia Ya Sasa.
      • Tumia Makombo Ya Wakati Wako Kujisomea Neno La Mungu.
      • Naomba Uniambie Rafiki Yangu, Unaishije Na Watu Wa...
      • Una Shina La Kukupeleka Katika Ushindi.
      • Je! Mungu Atakuwepo Au Hatakuwepo?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..8] Mambo Mawili Ambayo Huon...
      • Ukiona Unaliamini Jambo Na Huishi Hilo Jambo Basi ...
      • Je! Unapanda, Au Unashuka Bondeni?
      • Huwezi Kuuona Umuhimu Wa Maji Mpaka Visima Vikauke.
      • Kuijua Imani Na Kuishi Maisha Ya Ushindi.
      • Ukiona Fursa Hazigongi Mlango Jenga Mlango.
      • Jenga Tabia Hii Nayo Tabia Itakujenga Katika Mahus...
      • Gharama Ya KupataVitu Vizuri Vinavyokupeleka Katik...
      • [TAFAKALI NENO YA LEO...7] Ondoleo La Hofu Na Mais...
      • [TAFAKARI HEKIMA ZA WAZEE], Kuwaelewa Wengine, Kuj...
      • Alituchagua Tangu Tukiwa Na Dhambi. [Kwa Imani Tun...
      • Kanuni Ya Kibiblia Ambayo Inaweza Kukusaidia Kupan...
      • Utabiri Wa Nabii Danieli Juu Ya Injili Ya Maji Na ...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...6] Tumeandaliwa Mazingira ...
      • Umezaliwa Wa Kipekee Sana Lakini Watu Ndio Kioo Ch...
      • (TAFAKARI NENO YA LEO...5) Kama Una Tumaini Basi T...
      • Hakuna Mtu ambaye Hana Kabisa Katika Maisha.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..4] Mtumainie Mungu Usikate ...
      • Hii Ni Bahati Yako Au Ni Wakati Sahihi Kwako?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO 3] Usiende Kwa Mganga Siku Y...
      • Tunapokea Na Kutoa Kutokana Na Utayari Tulionao....2
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...2] Je! Unataka Kuwa Na Fur...
      • Geuza Machungu Yako Kuwa Ushindi.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO ...1] Jinsi Chuki Zinavyoene...
      • Tafakari Neno Ya Siku.
      • Tunapokea Na Kutoa Kwa Utayari Tulionao.
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ►  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ►  August (4)
    • ►  July (3)
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI


ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates