JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Friday, September 28, 2018

[TAFAKARI NENO YA LEO..12] Injili Ya Maji Na ROHO. Ubatizo Wa Yesu.

 Sadick Kilasi     September 28, 2018     KUFURAHIA MAISHA     No comments   

Kuponywa Kiroho.

Maisha ya sasa kila mtu anatamani kufika sehemu fulani. Kila mtu anapenda kufurahia maisha, lakini inakuwa ngumu kwa mtu kufurahia maisha kutoka na jinsi ndani mwake mtu alivo, kujimiliki mwenyewe inakuwa ni kazi ngumu sana. Kwa sababu mtu anashindwa kujiendeshamwenyewe bali anaendeshwa na hisia zake. Analolitaka kulifanya halifanyi bali anajikuta anafanya jambo jingine kabisa tofauti na malengo yake. Inawezekana hata wewe huwa unajikuta katika hali hii, unaweka mipango lakini hutimizi mipango yako, unajikuta tu hufanyi licha ya kwamba hicho kitu ambacho unakifanya hukipendi lakini bado wakifanya.

Wapo wengi ambao hupitia katika hali hii, nasema hili kwa sababu hata mimi nimepitia hali hii, si kwamba kwa sababu nimepitia hali hii na ndio maana nalisemea , hapana, bali ni asili ambayo hufanya kazi kwa mtu yeyote ambaye hajampokea Roho Mtakatifu. Wengi hujikuta wanatabia yakugombana na mtu licha ya kwamba yeye mwenyewe hapendi tabia hiyo lakini asili ya ndani humsukuma mtu huyo, ubinafsi wa ndani hufanya kazi kwa kiwango kikubwa sana. Ni maisha ambayo yanaumiza kwa sababu mtu anaendeshwa na hisia zake, na hana uwezo wa kukotroo hisia.


 Ukijikuta upo katika hali hii, sio kitu cha kushangaza bali ni asili ya mwanadamu ambaye hajazaliwa upya. Kwanini? Kwa sababu hata dunia ilianza katika mtumo huo huo wa ukiwa na utupu yaani hali ya kutokueleweka. MWANZO:1-2. Kwa hiyo ikiwa umejikuta katika hali hii na unaishi hali hii, Mungu tayari aliandaa mpango kuhakikisha kwamba, Roho Mtakatifu anaishi ndani yako na kuweza kukukotroo kutokana na hisia zako, wakati hujaokoka unakuwa unaendeshwa na hisia badala ya wewe kuendesha hisia zako. Kwani unapaswa kufanya maamuzi na hisia zako zifuate baadae.

Roho Mtakatifu ni Roho wa Mungu kwahiyo hawezi kukaa sehemu yenye dhambi kwani Mungu ni Nuru. Sehemu yeyote yenye mwaga giza huwa halipo, kwahiyo kama kuna giza la dhambi Roho wa Mungu hawezi kuweka makao mahali hapo. Kwa sababu mpango wa Mungu ni kuhakikisha mwanadamu anaishi maisha yenye maana ilibidi aandae mpango wa kumwokoa mwanadamu baada ya mwanadamu kufanya makosa au dhambi katika bustani ya Edeni. Dhambi ilingia kwa mtu mmoja, Adamu na watu wote wakawa katika uzao wa dhambi.

Kwa kuwa Mungu hakutaka mwanadamu aishi hivyo wakati wote, aliandaa mpango;
Mwanzo:3-15, nami naweka uadui kati yako nahuyomwanamke, nakati ya uzao wako, na uzao wake; huo atakuponda kichwa , nawe utamponda kisigino. Baada miaka mingi, toka Adamu mpaka Yohana Mbatizaji, wanadamu wote walikuwa chini ya utawala wa shetani lakini ujio wa Yesu ndio ulileta tumaini jipya kwa wanadamu. Yesu alibeba dhambi zote za ulimwengu bila kuacha dhambi yoyote. Yohana :1-29, Siku yapili yake amwona Yesu anakuja kwake, akasema, tazama, Mwana-kondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu! Huu ulikuwa ni mpango wa Mungu Yesu kuchukua dhambi ya ulimwengu ili Roho wake aishi ndani ya mioyo ya watu.

Mambo yalianzia katika ubatizo wa Yesu, alipokuwa anabatizwa na Yohana ndipo alichukua dhambi yote ya ulimwengu, akakaa na dhambi hizo kwa muda wa miaka mitatu, ili afundishe namna mpya ya kuishi baada ya ufalme wa Mungu yaani kupokea Roho wa Mungu.Baada ya hapo akateswa msalabani kwa sababu ya dhambi alizochukua wakati wa ubatizo wake, alitwishwa dhambi hizo na Yohana, mfano wake tendo la kikuhani lililokuwa linafanyika katika Agano la kale walipokuwa wanawekea mikono juu ya mbuzi, au mwana kondoo ama fahali. Mambo ya Walawi 16:23-34.[Usome]. Haya yalikuwa matendo ya kikuhani lakini yalikuwa hayaleti ukamirifu wa kuondoa dhambi kwani ilikuwa inawalazimu wana wa Israeli kurudia kufanya hivyo mara kwa mara lakni tendo alilolifanya Yesu kuchukua dhambi ya ulimwengu alifanya tendo la kikamirifu na liliondoa dhambi zote za ulimwengu.

Waebrania 10:1-12,Basi torati, kwa kuwa ni kivuli cha mema yatakayokuwa, wala si sura yenyewe ya mambo hayo, kwa dhabihu zilezile walizozitoa kila mwaka daima, haiwezi wakati wowote kuwakamirisha wakaribiao.Kama ndivyo, je! dhabihu hazingekoma kuotolewa; kwa maana waabuduo, wakisha kusafishwa mara moja, wasingejiona tena kuwa na dhambi? Lakini katika dhabihu hizo liko kumbukumbu la dhambinkila mwaka. Maana haiwezekani damu ya mafahali na na mbuzi kuondoa dhambi. Kwahiyo ajapo ulimwenguni, asema, dhabihu na toleo hukutaka, lakini mwili uliniwekea tayari; Sadaka za kuteketezwa na sadaka za dhambihukupendezwa nazo; Ndipo uliposema, tazama, nimekuja [ katika gombo la chuo nimeandikwa]. Nifanya mapenzi yako Mungu. Hapo juu asemapo, dhabihu na matoleo na sadaka za kuteketezwa na hizo dhambi hukuzitaka, wala hukupendezwa nazo [zitolewazo kama ilivyoamuru torati], ndipo aliposema tazama nimekuja, nifanye mapenzi yako. Andoa la kwanza ilikusudi asimamishe la pili. Katika mapenzi hayo mmepata utakaso, kwa kutolewa mwili wa Yesu Kristo mara moja tu. Na kila kuhani husimama kila siku akifanya ibada, na kutoa dhabihu zile zile mara nyingi; ambazo haziwezi kabisa kuondoa dhambi. Lakini huyu, alipokwisha kutoa kwajili ya dhambi moja idumuyo hata milele, aliketi mkono wa kuume wa Mungu,

Yesu aliondoa dhambi zote za matendo na za asili, alipobatizwa. Ubatizo aliokuwa unaufanya sio kuondoa matendo ya nje ya mwili, hapana, ila katika dhamiri ya mtu. Alifanya hivyo ili kuweka ufunuo katika neno lake. Kwani bila kufunuliwa na Mungu ama kama hujampokea Roho Mtakatifu huwezi kusoma neno la Mungu. 1Petro 3:21, Mfano wa mambo hayo ni ubatizo, unawaokoa ninyi pia siku hizi; [siyo kuwekea mbali uchafu wa mwili, bali jibu la dhamiri safi mbele za Mungu], kwa kufufuka kwake Yesu Kristo.  Mungu alisafisha dhamiri ya mtu kwani bila hilo tusingeweza kusoma neno la Mungu. Mioyo ya watu ni mizito kuelewa isipofunuliwa na Mungu lakni Yesu alifanya hivyo na akamweka mtu aendelee kufunuliwa zaidi na zaidi pale anaposoma neno la Mungu, na Roho Mtakatifu hufunulia zaidi siri za Mungu mtu huyo kwani Roho Mtakatifu na Neno la Mungu ni sawa, hupatana.

Kwahiyo unapoamini katika injili hii, ndipo unafanyika kuwa huna dhambi baada ya dhambi zako kusafishwa na hii haitegemei sara za toba bali imani yako kwani tendo hili tayari lilisha kamirika. Roho Mtakatifu ataweka makazi ndani yako na ataanza kukotroo hali yako sasa kile ambacho utamua ndicho utakifanya. Yapo matunda ya Roho Mtakatifu; upendo, uvumilivu, amani, imani, fadhili na moyo wa kiasi. Moyo wa kiasi unakusaidia kujithibiti mwenyewe. Injili ya Maji na Roho ndiyo injili ya kweli. Mtu hawezi kuzaliwa mara yapili bila hii, kwani katika Agano la kale ilikuwa inasafisha dhambi za wana wa Israeli japo haikuwapa ukamirifu kilikuwa ni kivuli cha injili hii ya sasa. Maji, Damu na Roho. NDIYO INAYOTUOKOA HIVI SASA.

Ikiwa utaiamini injili hii, utaomba lolote na Mungu atakupa kwani tayari ndani yako kuna tunda la imani. Ni kuamini tu, basi ndipo utapokea haki ya MUNGU. Karibu kwa swali lolote, nitumie ujumbe kama una swali, lakini ili kuijua zaidi injili hii hakikisha unajipatia kitabu cha UKRISTO NA MAISHA.

Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.

Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ►  2019 (46)
    • ►  December (4)
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ▼  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ►  October (29)
    • ▼  September (43)
      • Toa Ulichonacho, Anzia Hapo Ulipo.
      • Panda Mti Leo.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..13] Hatupokei Haki Ya Mungu...
      • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.
      • Usijikinai Ndugu, Utaoza.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..12] Injili Ya Maji Na ROHO....
      • Utukufu Ni Wa Mungu.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..11] Je! Ufanye Nini Wakati ...
      • Watu Hawatakosa La Kusema, Endelea Kufanya Unachop...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...10] Hamna Namna, Mshangaze...
      • Endelea Kufanya Yanayofaa.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...9] Ukimpokea Yesu Onyesha...
      • Hii ndio Njaa Kubwa Ya Dunia Ya Sasa.
      • Tumia Makombo Ya Wakati Wako Kujisomea Neno La Mungu.
      • Naomba Uniambie Rafiki Yangu, Unaishije Na Watu Wa...
      • Una Shina La Kukupeleka Katika Ushindi.
      • Je! Mungu Atakuwepo Au Hatakuwepo?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..8] Mambo Mawili Ambayo Huon...
      • Ukiona Unaliamini Jambo Na Huishi Hilo Jambo Basi ...
      • Je! Unapanda, Au Unashuka Bondeni?
      • Huwezi Kuuona Umuhimu Wa Maji Mpaka Visima Vikauke.
      • Kuijua Imani Na Kuishi Maisha Ya Ushindi.
      • Ukiona Fursa Hazigongi Mlango Jenga Mlango.
      • Jenga Tabia Hii Nayo Tabia Itakujenga Katika Mahus...
      • Gharama Ya KupataVitu Vizuri Vinavyokupeleka Katik...
      • [TAFAKALI NENO YA LEO...7] Ondoleo La Hofu Na Mais...
      • [TAFAKARI HEKIMA ZA WAZEE], Kuwaelewa Wengine, Kuj...
      • Alituchagua Tangu Tukiwa Na Dhambi. [Kwa Imani Tun...
      • Kanuni Ya Kibiblia Ambayo Inaweza Kukusaidia Kupan...
      • Utabiri Wa Nabii Danieli Juu Ya Injili Ya Maji Na ...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...6] Tumeandaliwa Mazingira ...
      • Umezaliwa Wa Kipekee Sana Lakini Watu Ndio Kioo Ch...
      • (TAFAKARI NENO YA LEO...5) Kama Una Tumaini Basi T...
      • Hakuna Mtu ambaye Hana Kabisa Katika Maisha.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..4] Mtumainie Mungu Usikate ...
      • Hii Ni Bahati Yako Au Ni Wakati Sahihi Kwako?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO 3] Usiende Kwa Mganga Siku Y...
      • Tunapokea Na Kutoa Kutokana Na Utayari Tulionao....2
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...2] Je! Unataka Kuwa Na Fur...
      • Geuza Machungu Yako Kuwa Ushindi.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO ...1] Jinsi Chuki Zinavyoene...
      • Tafakari Neno Ya Siku.
      • Tunapokea Na Kutoa Kwa Utayari Tulionao.
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ►  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ►  August (4)
    • ►  July (3)
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI


ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates