JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Friday, September 14, 2018

Kanuni Ya Kibiblia Ambayo Inaweza Kukusaidia Kupangilia Shughuli Zako Na Kufikia Mafanikio Makubwa.

 Sadick Kilasi     September 14, 2018     TAFAKARI YA ROHO     No comments   

Sababu ya Yesu kuacha utajiri wake mbinguni na kushuka duniani na kufanyika kuwa fukara ilikuwa ni kutufanya sisi tuupate utajiri na mafanikio katika maeneo yote ya maisha ya mtu. Yesu alileta au kukamirisha neno ambalo ni neno takatifu. Sasa kupitia neno lake unaweza kujifunza mambo mengi sana ambayo yanaweza kukusaidia katika maisha ya kawaida. Ipo miujiza ambayo Yesu alifanya na yapo mafunzo mengi sana amabayo leo hii unaweza ukatumia kutatua katika mazingira yanayokuzunguka.

 Kanuni zote ambazo Yesu alifundisha ni kanuni takatifu, ikimaanisha ni ukweli mtu na endapo utatumia ni lazima itakupa matokeo yanayofaa na kukuletea mafanikio katika shughuli zako.

Leo nataka tujifunze muujiza mmoja tu ambao Yesu aliufanya na wewe hapo unaweza kutumia katika biashara na shughuli zingine za kawaida na utakupa matokeo yanayofaa kwa kutumia mfumo huu.

Mathayo 15:21-28, Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni. Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akasema, unirehemu, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo. Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakasema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu. Akajibu, akasema, sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Naye akaja akasujudia, akasema Bwana, unisaidie. Akajibu, akasema, si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, ndiyo, Bwana, lakini hata umbwa hula makombo yaangukayo mezani pa bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu sa ile.

Mpendwa msomaji, mwanamke huyu alikuwa sio Muisraeli na Yesu alikuja kwaajiri ya wana wa Israeli yaani uzao wa Yakobo. Lakini mwanamke huyu  alikuwa anauhitaji wa lile neno la Yesu, yaani uzima. Alipomwendea Yesu ili amusaidie Yesu alimjibu kwamba, neno hili ni kwaajiri ya Watoto wateule wa Mungu lakini Mama akamwambia kwa sababu wao ni wateule basi nasi tutapata kidogo kwa sababu ya uteule wao. Hata kama tutapata kidogo lakini kwetu hiki kinathamani kutokana na mazingira yetu kwa sababu sisi si wateule wa Mungu.

Sasa rafiki, Ndugu, kitu ambacho nilikuwa nataka nikuonyeshe hapa ni hiki, inawezekana wewe unafanya biashara fulani lakini, unauza vitu vyenye thamani na kunamabaki fulani huwa yanabaki na huwa unatupa, Mwanamama huyu aliyekuwa anaongea na Yesu ametufundisha kitu hapa, kwamba yale mabaki unaweza ukayauza hata kwa pesa kidogo na kuliko kutupa basi utatengeneza pesa kiasi.

Inawezekana una nguo nyingi sana na nyingine huvai kabisa basi chambua zile nguo ambazo huvai nenda kawape watu ambao ni maskini, inawezekana una pesa za ziada tumia njia hiyo kutoa misaada katika maeneo ambayo huwa unasukumwa kutoa. Inawezekana wewe ni mwandishi, wa blogu kama hii na huwa unaandika vitabu basi unaweza kukusanya makala na kukifanya kiwe kitabu na ukauza au kutoa kwa watu kama zawadi. Kwa angalia maeneo unayoishi, angalia yale mambo ambyo unaona kama ni kelo kama wanafunzi walivyokuwa wanamwona Mama huyo, sasa wewe unapaswa kuona dhamani katika mazingira hayo na kufanya kitu kizuri tu. Tena vitu vya ziada ni vizuri kutoa kwa sababu havina usumbufu. Paulo anasema; 2Wakorintho 8:12-14, Maana, kama nia ipo, hukubaliwa kwa kadili ya alinyonavyo mtu, si kwa kadili asivyo navyo. Maana sisemi hayo ili wengine wapate raha ili nanyi mpate dhiki, bali mambo yawe sawasawa; wakati huu wa sasa wingi wenu uwafae upungufu wao, ili na wingi wao uwafae ninyi mtakapopungukiwa; ili mambo yawe sawa sawa.

Kama  tukitumia mtumo huu katika kutimiza mapenzi ya Mungu, itakuwa ni nzuri kwetu katika maisha yetu, maana kwa hili ni maisha ya kujaliana ya mapendano. Kwa hiyo fomula hii unaweza kutumia katika biashara na kuongeza mtaji, unaweza kutumia katika mapendano ya kujaliana, unaweza kutumia katika kuhifadhi kumbukumbu. Kanuni hii ni nzuri na inapaswa kutumiwa na kila mtu. Angalia mambo mablimbali katika eneo lako la nyumbani, kazini, kwenye usafiri, unaweza ukawa unasafiri na ukatumia wakati uleule katika kujisomea, na maeneo mengine ya maisha yako.


Asante rafiki yangu, natumai utaenda kuboresha maisha yako kwa kutumia kanuni hii, nakuomba rafiki yangu, nisaidie kusambaza makala hizi kwa marafiki zako na watu wako wa karibu. Pia ningependa kusikia kutoka kwako ni eneo lipi utaenda kuboresha maisha yako kwa kutumia kanuni hii. Pia kama bado hujapata kitabu cha UKRISTO NA MAISHA, hakikisha unajipatia bure kabisa.

Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.

Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ►  2019 (46)
    • ►  December (4)
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ▼  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ►  October (29)
    • ▼  September (43)
      • Toa Ulichonacho, Anzia Hapo Ulipo.
      • Panda Mti Leo.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..13] Hatupokei Haki Ya Mungu...
      • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.
      • Usijikinai Ndugu, Utaoza.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..12] Injili Ya Maji Na ROHO....
      • Utukufu Ni Wa Mungu.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..11] Je! Ufanye Nini Wakati ...
      • Watu Hawatakosa La Kusema, Endelea Kufanya Unachop...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...10] Hamna Namna, Mshangaze...
      • Endelea Kufanya Yanayofaa.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...9] Ukimpokea Yesu Onyesha...
      • Hii ndio Njaa Kubwa Ya Dunia Ya Sasa.
      • Tumia Makombo Ya Wakati Wako Kujisomea Neno La Mungu.
      • Naomba Uniambie Rafiki Yangu, Unaishije Na Watu Wa...
      • Una Shina La Kukupeleka Katika Ushindi.
      • Je! Mungu Atakuwepo Au Hatakuwepo?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..8] Mambo Mawili Ambayo Huon...
      • Ukiona Unaliamini Jambo Na Huishi Hilo Jambo Basi ...
      • Je! Unapanda, Au Unashuka Bondeni?
      • Huwezi Kuuona Umuhimu Wa Maji Mpaka Visima Vikauke.
      • Kuijua Imani Na Kuishi Maisha Ya Ushindi.
      • Ukiona Fursa Hazigongi Mlango Jenga Mlango.
      • Jenga Tabia Hii Nayo Tabia Itakujenga Katika Mahus...
      • Gharama Ya KupataVitu Vizuri Vinavyokupeleka Katik...
      • [TAFAKALI NENO YA LEO...7] Ondoleo La Hofu Na Mais...
      • [TAFAKARI HEKIMA ZA WAZEE], Kuwaelewa Wengine, Kuj...
      • Alituchagua Tangu Tukiwa Na Dhambi. [Kwa Imani Tun...
      • Kanuni Ya Kibiblia Ambayo Inaweza Kukusaidia Kupan...
      • Utabiri Wa Nabii Danieli Juu Ya Injili Ya Maji Na ...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...6] Tumeandaliwa Mazingira ...
      • Umezaliwa Wa Kipekee Sana Lakini Watu Ndio Kioo Ch...
      • (TAFAKARI NENO YA LEO...5) Kama Una Tumaini Basi T...
      • Hakuna Mtu ambaye Hana Kabisa Katika Maisha.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..4] Mtumainie Mungu Usikate ...
      • Hii Ni Bahati Yako Au Ni Wakati Sahihi Kwako?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO 3] Usiende Kwa Mganga Siku Y...
      • Tunapokea Na Kutoa Kutokana Na Utayari Tulionao....2
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...2] Je! Unataka Kuwa Na Fur...
      • Geuza Machungu Yako Kuwa Ushindi.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO ...1] Jinsi Chuki Zinavyoene...
      • Tafakari Neno Ya Siku.
      • Tunapokea Na Kutoa Kwa Utayari Tulionao.
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ►  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ►  August (4)
    • ►  July (3)
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI


ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates