JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Friday, September 7, 2018

[TAFAKARI NENO YA LEO ...1] Jinsi Chuki Zinavyoenezwa Haraka.

 Sadick Kilasi     September 07, 2018     MAHUSIANO, TAFAKARI NENO YA SIKU     No comments   

Nakumbuka wakati fulani nilipokuwa nasoma shule ya kwanza yaani shule ya msingi, wakati huo nilikuwa darasa la sita, nakumbuka siku moja nilikuwa nilikuwa nasafiri kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji cha pili. Wakati nikiwa nasafiri ghafla mvua ikaanza kunyesha. Njiani kulikwa na kibanda kimoja, sasa nikaona ngoja nijikinge mvua kwenye kibanda hicho. Wakati naenda ili nijikinge mvua niliwakuta watu watano na watu wote tulikuwa tunajuana japo hatukutoka kijiji kimoja lakini tulikuwa tunafahamiana kiukoo. Watu hao walikuwa ni watu wazima, walikuwepo watu wa makamo watatu na wazee wawili. Siku hiyo ilikuwa ni siku ya funzo kubwa sana katika maisha yangu kwa leo nikikumbuka.


 Mzee mmoja akawa anaongea, wakati huo mimi nimetulia kimya, akawa anasema, wewe huniwezi, wewe ni mtoto mdago sana, wewe huwawezi watu wakubwa. Mimi nisijue kwamba alikuwa ananilenga mimi na kunilenga mimi. Mimi nikawa nimetulia kimya kwa sababu nilikuwa sielewi na kwa kuwa mimi nilikuwa mdogo na watu waliokuwepo pale ni watu wazima, mimi nilitulia kimya tu.

Sasa nikakuta watu wanacheka, na mtu mmoja akamwambia yule mzee, 'wewe vipi huyo ni mtoto'! Unampima mpaka mtoto? Unajua nini? Yule mzee alikuwa ananipima mimi uchawi, sasa kwa sababu mimi nilikuwa sielewi kitu, nikawa nimetulia tu, sasa baada ya watu wazima kuongea vile ndo nikaelewa anachofanya yule mzee. Kiukweli hata nipoelewa mzee alichokuwa anafanya nikajikuta nimeduwa tu sina cha kusema.

Sasa leo imekutana na watoto wawili wanaokaa nyumba moja, mtoto mmoja akamwambia mwenzake kwamba, Bibi amesema wewe ni mchawi, huwa unachukua akili za mwenzako shuleni. Sasa mimi nikachukua hatua nikamwuliza, eti kweli bibi yako anakwambiaga wewe ni mchawi? Akanijibu, ndio. Nikamwuliza tena, Ni kweli wewe ni mchawi? Akanijibu, mimi sijui yeye huwa ananambia mimi mchawi. Huyo mtoto alikuwa bado mdogo tu, kama miaka kumi na tatu kwa makadilio. Yeye bibi yake ni mtu wa kanisani, huwa anaenda kanisani, anamhumkumu kwamba ni mchawi.

Huyu mtoto amenikumbusha mbali sana, amenikumbusha utoto wangu nami nilivokuwa nafanyiwa. Kiukweli amenifanya nicheke kwa sababu nimejifunza kitu, kwamba tunahukumiana bure tu. Mioyo ya watu imejaa ubaya, kila wakati inafikiri ubaya tu. Lakini pia nimezidi kuelewa kwamba propaganda ni nyingi sana katika maisha. Yaani mtu huwaza tu mabaya wakati wote.


 Leo hii hata watumishi wa ibadani, utawasikia kabisa, namwona jilani yako anakuloga, jilani yako ndiye mbaya wako, ndugu yako huwa anakuloga. Jamani mtumishi huyo, anaongea maneno hayo na tena maneno hayo anayaongea patakatifu. Huku ni kueneza ubaya. Tuwe makini katika kila hatua. Mtu yeyote ambaye anamwambia mwenzie mchawi, yeye ndiye mchawi wa kwanza.

Wapo watu ambao wakiumwa cha kwanza ni unabii, mtu fulani ananiloga, si homa ya bure hii, lazima kuna kitu. Mpandwa msomaji, nani anakuloga, umejaa chuki ndani yako na ndiomaana unafikiri watu wanakuloga.

Hajarishi mtu anakuloga kwa kiasi gani? Ona wema kwenye kila baya. Kwenye upendo hakuna nguvu ya kishetani ambayo husogea. Fikiria watu kwa mazuri tu, hata kama wanakufanyia mabaya kiasi gani? Acha kufikiri watu ni wabaya, sasa kama wewe ni mtumishi na unamwambia mtu ni mchawi sasa utamletaje kwa Yesu? Mpendwa msomaji, kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu na matendo yake. Fikiri hilo.

Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.

Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ►  2019 (46)
    • ►  December (4)
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ▼  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ►  October (29)
    • ▼  September (43)
      • Toa Ulichonacho, Anzia Hapo Ulipo.
      • Panda Mti Leo.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..13] Hatupokei Haki Ya Mungu...
      • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.
      • Usijikinai Ndugu, Utaoza.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..12] Injili Ya Maji Na ROHO....
      • Utukufu Ni Wa Mungu.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..11] Je! Ufanye Nini Wakati ...
      • Watu Hawatakosa La Kusema, Endelea Kufanya Unachop...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...10] Hamna Namna, Mshangaze...
      • Endelea Kufanya Yanayofaa.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...9] Ukimpokea Yesu Onyesha...
      • Hii ndio Njaa Kubwa Ya Dunia Ya Sasa.
      • Tumia Makombo Ya Wakati Wako Kujisomea Neno La Mungu.
      • Naomba Uniambie Rafiki Yangu, Unaishije Na Watu Wa...
      • Una Shina La Kukupeleka Katika Ushindi.
      • Je! Mungu Atakuwepo Au Hatakuwepo?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..8] Mambo Mawili Ambayo Huon...
      • Ukiona Unaliamini Jambo Na Huishi Hilo Jambo Basi ...
      • Je! Unapanda, Au Unashuka Bondeni?
      • Huwezi Kuuona Umuhimu Wa Maji Mpaka Visima Vikauke.
      • Kuijua Imani Na Kuishi Maisha Ya Ushindi.
      • Ukiona Fursa Hazigongi Mlango Jenga Mlango.
      • Jenga Tabia Hii Nayo Tabia Itakujenga Katika Mahus...
      • Gharama Ya KupataVitu Vizuri Vinavyokupeleka Katik...
      • [TAFAKALI NENO YA LEO...7] Ondoleo La Hofu Na Mais...
      • [TAFAKARI HEKIMA ZA WAZEE], Kuwaelewa Wengine, Kuj...
      • Alituchagua Tangu Tukiwa Na Dhambi. [Kwa Imani Tun...
      • Kanuni Ya Kibiblia Ambayo Inaweza Kukusaidia Kupan...
      • Utabiri Wa Nabii Danieli Juu Ya Injili Ya Maji Na ...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...6] Tumeandaliwa Mazingira ...
      • Umezaliwa Wa Kipekee Sana Lakini Watu Ndio Kioo Ch...
      • (TAFAKARI NENO YA LEO...5) Kama Una Tumaini Basi T...
      • Hakuna Mtu ambaye Hana Kabisa Katika Maisha.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..4] Mtumainie Mungu Usikate ...
      • Hii Ni Bahati Yako Au Ni Wakati Sahihi Kwako?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO 3] Usiende Kwa Mganga Siku Y...
      • Tunapokea Na Kutoa Kutokana Na Utayari Tulionao....2
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...2] Je! Unataka Kuwa Na Fur...
      • Geuza Machungu Yako Kuwa Ushindi.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO ...1] Jinsi Chuki Zinavyoene...
      • Tafakari Neno Ya Siku.
      • Tunapokea Na Kutoa Kwa Utayari Tulionao.
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ►  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ►  August (4)
    • ►  July (3)
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI


ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates