Zaburi 27:14, Umngoje BWANA, uwe hodari, upige moyo konde, naam, umngoje BWANA.
Zaburi 31:24, Iweni hodari, mpige moyo konde, ninyi nyote mnamngojea BWANA.
Yoshua 1:6, Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana ni wewe utakayewarithisha watu hawa nchi hii niliyowapia baba zao ya kwamba nitawapa.
Msingi wa tumaini lako uwe kwa Mungu, usijiongoze peke yako.
Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.
Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
0 comments:
Post a Comment