JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Monday, September 24, 2018

Tumia Makombo Ya Wakati Wako Kujisomea Neno La Mungu.

 Sadick Kilasi     September 24, 2018     No comments   

Tumia Makombo Ya Wakati Kusoma Neno La Mungu.

Biblia kama kitabu kitakatifu kinaukweli wa uhalisia ambao hauwezi kubadilika kamwe. Biblia ni kitabu ambacho kimejaa uhalisia wa mambo yasiyobadilika. Kwa mujibu wa utafiti wa watu, Biblia ndio kitabu cha kale au zaidi duniani. Miaka yote kimekuwa kinazungumza ukweli wa uhalisi, mambo mengi yalitabiriwa na yamekuja kuwa halisi katika dunia. Kitabu cha biblia, kimejaa maneno matakatifu ambayo ni halisi. Kwa yeyote ambaye anasoma atapata uhalisia wa mambo.

Pamoja na kuwa Biblia ni kitabu cha kale zaidi duuniani lakini bado mambo yake, yalioyomo kwenye neno yamekuwa yakifanya kazi mpaka sasa, kweli neno la Mungu ni upanga usioisha makali. Biblia ndicho kitabu ambacho kina nakala ningi zaidi duniani, ni kitabu ambacho ni rahisi zaidi kupatikana kila mahala na kila nyumba. Leo hii kila nyumba ya Kikristo, walio wengi wanabiblia.

Maneno ya kwenye Biblia yamejaa uzima wa kiroho, kiakili na kimwili pia. Lakini pamoja na kuwa Biblia ndio kitabu ambacho kinapatikana zaidi kwenye nyumba za watu lakini pia ni kitabu ambacho hakichukuliwi kwa umanane na kusomwa. Watu wengi hawasomi Biblia, wamenunua biblia kutokana tu na tabia za kidini. Siku zote watu huishia kutazama tu, na kutambua tu kwamba hii ni Biblia lakini kilicho ndani kwao ni giza tu.

Biblia ni kitabu ambacho kinaweza kukupa matumaini mapya, biblia ni kitabu ambacho kinaweza kukuonyesha kusudi la maisha yako, Biblia ni kitabu ambacho kinaweza kukuelezea uhalisia wako wewe ni nani hasa, biblia ni kitabu ambacho kinaweza uone mazingira unayoishi na sio kuishia kutazama tu, biblia ni kitabu ambacho kinaweza kuwa na wewe wakati wa changamoto, biblia ni kitabu ambacho kinaweza kuboresha mahusiano yako, biblia ni kitabu ambacho kimejaa kanuni za kibiashara, kwahiyo kwa kutumia kanuni za kiblia ukafanikiwa kwenye biashara yako, biblia ni kitabu ambacho kitakufa uwe na njozi ya maisha yako ya baadae baada ya kifo, bilia ni kitabu ambacho kitakueleza kifo ni nini, biblia ni kitabu ambacho kitasafisha akilia yako kabisa, biblia ni kitabu ambacho kitakufanya uumiliki ukweli badala ya kuambiwa tu na kufundishwa, biblia ni kioo cha wewe, biblia ni kioo cha kuwaona wengine na mengina mengi yamo kwenye biblia.

Kutokana na faida nyingi ambazo zipo wazi na ndiomaana nakuletea kanuni hii ya [tumia makombo ya muda wako kujisomea neno la Mungu.] Kanuni hii ni kanuni ambayo ipo kwenye biblia na ndio maana nimekwambia, kila hatua ya maisha yako biblia inaweza kukuelekeza cha kufanya na kubadili kabisa maisha yako.

Mathayo 15:21-28, Yesu aliondoka mahali hapo akaenda kukaa katika sehemu za Tiro na Sidoni. Basi, mama mmoja Mkaanani wa nchi hiyo alimjia, akapaza sauti, Bwana, Mwana wa Daudi,nionee huruma! binti yangu anasunbuliwa na pepo. Lakini Yesu hakumjibu neno. Basi, wanafunzi wake wakamwendea, wakamwambia, mwambia aende zake kwa maana anatufuatafuata kipiga kelele. Yesu akamjibu, sikutumwa ila kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo. Hapo huyo mama akaja, akamsujudia, akasema, Bwana, nisaidie. Yesu akasema, si vizuri kuchukua chakula cha watoto na kuttupia mbwa. Huyo mama akajibu, ni kweli Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yanayoanguka kutoka meza ya bwana wao. Hapo Yesu akamjibu, Mama, imani yako ni kubwa, basi, ufanyiwe kama unavotaka. Yule binti yake akapona wakati huohuo.

Lengo lako ni kula chakula lakini mabaki yanayobaki mbwa hula naye hupata haki yake. Lengo lako ni kusafiri lakini unamakombo ya wakati wakati unasafiri, tumia muda huo kusoma neno la Mungu, lengo lako ni kuuza duka lakini unamakombo ya wakati unaposubiri wateja, tumia wakati huo kusoma neno la Mungu, lengo lako ni kwenda mahala fulani lakini safari ni ndefu tumia wakati huo kusoma neno la Mungu, tumia kila makombo ya wakati wako kusoma neno la Mungu. Uzuri wa siku hizi kunna biblia za kidikitali kwa hiyo ni rahisi kusoma neno popote pale ulipo kwenye simu hizi za kisasa. Wakati mwingine, tumia muda mtaktifu na sio makombo ya muda.  Kama bado hujadownload biblia basi hakikisha unafanya hivyo ilikutumia muda vizuri.

Karibu kwenye Group letu la SURA YA UKWELI, ambapo tutakuwa tunashirikiana kwa pamoja yale ambayo tumejifunza kwa siku hiyo kutoka kwenye Biblia. Na pia itakuwa ni rahisi kuelewesha mambo mbalimbali na kuulizana maswali juu ya neno la Mungu. Napenda niwe pamoja nawe katika kusoma Biblia. Moja ya malengo yangu ni kusoma biblia kuhubiri injili ambayo imeniponya mimi mwenyewe, injili ya maji na Roho, na kuwasaidia watu, kutokana na mazingira wanayoishi, biblia ni kitabu ambacho kinaweza kukupa matumaini mapya. Karibu rafiki yangu, karibu rafiki yangu tuwe pamoja katika group hili, karibu tuuchimbue madini yaliyofichika, karibu tuijue uhakisia wa mambo, karibu tujengane kwa pamoja. Ili kujiunga na Group nitumie ujumbe wa whatsap ili nikuunge moja kwa moja kwenye Group. 0687000768 au kama unaona vipi unaweza kunitumia ujumbe kwa sadikila65@gmail.com. Lengo kubwa ni kusoma biblia na kutafuta uhalisia wa mambo. Lakini pia nitaendesha darasa la kuitambua kwa undani Injili ya Maji na Roho. Karibu sana rafiki yangu tuwe pamoja.

Hakikisha pia kama hujapata kitabu cha UKRISTO NA MAISHA, KUWA NA MATUMAINI, NISAIDIE NAOGOPA, jipatie zawadi hizi za vitabu.

Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.

Mwasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ►  2019 (46)
    • ►  December (4)
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ▼  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ►  October (29)
    • ▼  September (43)
      • Toa Ulichonacho, Anzia Hapo Ulipo.
      • Panda Mti Leo.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..13] Hatupokei Haki Ya Mungu...
      • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.
      • Usijikinai Ndugu, Utaoza.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..12] Injili Ya Maji Na ROHO....
      • Utukufu Ni Wa Mungu.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..11] Je! Ufanye Nini Wakati ...
      • Watu Hawatakosa La Kusema, Endelea Kufanya Unachop...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...10] Hamna Namna, Mshangaze...
      • Endelea Kufanya Yanayofaa.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...9] Ukimpokea Yesu Onyesha...
      • Hii ndio Njaa Kubwa Ya Dunia Ya Sasa.
      • Tumia Makombo Ya Wakati Wako Kujisomea Neno La Mungu.
      • Naomba Uniambie Rafiki Yangu, Unaishije Na Watu Wa...
      • Una Shina La Kukupeleka Katika Ushindi.
      • Je! Mungu Atakuwepo Au Hatakuwepo?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..8] Mambo Mawili Ambayo Huon...
      • Ukiona Unaliamini Jambo Na Huishi Hilo Jambo Basi ...
      • Je! Unapanda, Au Unashuka Bondeni?
      • Huwezi Kuuona Umuhimu Wa Maji Mpaka Visima Vikauke.
      • Kuijua Imani Na Kuishi Maisha Ya Ushindi.
      • Ukiona Fursa Hazigongi Mlango Jenga Mlango.
      • Jenga Tabia Hii Nayo Tabia Itakujenga Katika Mahus...
      • Gharama Ya KupataVitu Vizuri Vinavyokupeleka Katik...
      • [TAFAKALI NENO YA LEO...7] Ondoleo La Hofu Na Mais...
      • [TAFAKARI HEKIMA ZA WAZEE], Kuwaelewa Wengine, Kuj...
      • Alituchagua Tangu Tukiwa Na Dhambi. [Kwa Imani Tun...
      • Kanuni Ya Kibiblia Ambayo Inaweza Kukusaidia Kupan...
      • Utabiri Wa Nabii Danieli Juu Ya Injili Ya Maji Na ...
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...6] Tumeandaliwa Mazingira ...
      • Umezaliwa Wa Kipekee Sana Lakini Watu Ndio Kioo Ch...
      • (TAFAKARI NENO YA LEO...5) Kama Una Tumaini Basi T...
      • Hakuna Mtu ambaye Hana Kabisa Katika Maisha.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO..4] Mtumainie Mungu Usikate ...
      • Hii Ni Bahati Yako Au Ni Wakati Sahihi Kwako?
      • [TAFAKARI NENO YA LEO 3] Usiende Kwa Mganga Siku Y...
      • Tunapokea Na Kutoa Kutokana Na Utayari Tulionao....2
      • [TAFAKARI NENO YA LEO...2] Je! Unataka Kuwa Na Fur...
      • Geuza Machungu Yako Kuwa Ushindi.
      • [TAFAKARI NENO YA LEO ...1] Jinsi Chuki Zinavyoene...
      • Tafakari Neno Ya Siku.
      • Tunapokea Na Kutoa Kwa Utayari Tulionao.
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ►  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ►  August (4)
    • ►  July (3)
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI


ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates