JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Friday, October 5, 2018

Mwenyezi Mungu Ni Nani?

 Sadick Kilasi     October 05, 2018     TAFAKARI YA ROHO     No comments   

Wewe hufikiri Mwenyezi Mungu ni nani?

Mwenyezi Mungu ndiye aliyeumba mbigu na nchi, Mwenyezi Mungu anatawala mbinguni na duniani,  utukufu wake umejaa mbinguni na kutiririka duniani, yeye ndiye Mfalme wa utukufu.

Mwenyezi Mungu ni nani hasa?
 Mwenyezi Mungu ndiye alifanya maji ya juu na maji ya chini, kutoka juu maji hunyeshea ardhi na ardhi huchipusha mimea. Amefanya hekima zake za ajabu. Utukufu hutoka juu na kutiririka chini duniani, yeye ndiye Mfalme wa utukufu.

Mwenyezi Mungu ni nani hasa?
Yeye ndiye aliyefanya mianga mikali mbinguni, yeye ndiye Mfalme wa Nuru, amefanya jua, mwezi na nyota, nuru hutoka juu mbinguni na kuangaza duniani, Mwenyezi Mungu ndiye Mfalme wa utukufu.

Mwenyezi Mungu ni nani hasa? Afanya bahari, akafanya wanyama baharini, amefanya nchi na kufanya wanyama nchini, huyu ndiye Mwenyezi Mungu, kila kona umejaa utukufu wake. Alifanya mimea na wanyama wa kila aina, ndege wa angani na wadudu mbalimbali. Mwenyezi Mungu ndiye Mfalme wa utukufu.

Amemwumba mtu, akawafanya wanadamu, akafanya wapendane kwa kuweka upendo ndani yao. Mwenyezi Mungu ndiye Mfalme wa Upendo. Huyu ndiye Mwenyezi Mungu, Mfalme wa utukufu wote.

Itafakari hekima ya Mwenyezi Mungu, mwanadamu asipoonyeshwa hekima yake na Roho wake Mungu, mwanadamu hawezi kujua hekima za mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu ndiye Mfalme wa utukufu wote.

Amefanya anga, akafanya kitu, ndani ya kitu kuna kitu na ndani ya kitu kuna kitu, je! kuna kitu ambacho ndani yake hakuna kitu? Hizo ndizo hekima za Mwenyezi Mungu, utukufu ni wake, yeye ndiye Mfalme wa utukufu.

Mwenyezi Mungu ni nani hasa?
Huyu ndiye aliyeleta tumaini jipya ulimwenguni kwa kumtoa mwanaye wa pekee Yesu Kristo, ili kila mtu amwaminiye apate nuru ndani yake na kuokolewa. Mwenyezi Mungu ndiye nuru ya kweli kupitia kwa mwanaye Yesu Kristo.

Walio mwamini Yesu Kristo kupitia injili yake ya maji na Roho, kwa kutambua kwamba yeye alikuja kwa ushuhuda wa maji, damu na Roho, wamepata nuru ndani yao na tumaini lao ni kukua utukufu baada ya utukufu huku tumaini lao kuu ni kuondolewa mwili huu wa mauti na kuvishwa mwili mpya ambao ni mwili usio na mauti na kufurahi pamoja na Kristo katika Ufalme wa Mungu. Zote hizi ni hekima za Mungu, watu wake wapate kushiriki utukufu wake hapa duniani, kupitia kwa Mwanaye wa pekee Kristo Yesu.

Zitafakari hekima za Mungu, zifumbue hekima za Mungu, hiyo ndiyo furaha ya mwanadamu kutafakari hekima za Mungu na kushiriki utukufu wake. Yeye ndiye aliyejaa utukufu, yeye ndiye Mfalme wa amani kwa wote ambao huutafuta uso wake. Mwenyezi Mungu ndiye Mfalme wa utukufu.

Shiriki utukufu wa Mungu kwa kufanyika Mwana wa Mungu, injili ya maji na Roho ipo wazi, haihitaji gharama ya kulipa zaidi ya kuamini kwa moyo wako na kisha kupokea haki ya Mungu na kushiriki utukufu wa Mungu. Hekima zote ni zake Mwenyezi Mungu, yeye ndiye Mfalme wa utukufu. Asante.

Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.

Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ►  2019 (46)
    • ►  December (4)
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ▼  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ▼  October (29)
      • Maisha Yenye Maana.
      • Wapi Ulipo?
      • Sala Ya Kuomba Amani.
      • Sicho Hicho Ndugu Yangu Unachohitaji.
      • Mwili Wako Ni Zawadi Kwa Wengine.
      • Utabiri Unaonesha Kwamba Wewe Utafurahia Maisha Ka...
      • Unachohitaji Katika Maisha Yako.
      • Kutambua Dalili Za Kujiliwa Kwa Jambo Jipya.
      • Ishi Kwa Kudhamiria Jambo Jema.
      • Ubatizo Ni Nini?
      • Upekee Unagharama Yake Ya Kulipa.
      • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache,...
      • Uogope Woga unaokufanya Uwe Mwoga.
      • Jifunze Kwa Bidii Ili Uwe Huru.
      • Wakati Jama Wakati.
      • Madamu Unayo Leo Unaweza.
      • Viungo Vya Mwili Hufanya Kazi Kwa Ushilikiano.
      • Dunia Mama Haimtupi Mwenye Mwili.
      • Mwalimu Nyerere Zawadi Ya Afrika Na Dunia Kwa Ujumla.
      • Mambo Ya Kujua Na Kuepuka Ili Kudumisha Furaha Kat...
      • Unabadilisha Nguo Kila Siku, Kwanini Usibadilishe ...
      • Angalia Mbegu Unazokazana Kupanda.
      • Usikazane Kutafuta Raha Katika Maisha Bali Kazana ...
      • Ujumbe Uliobeba Ndani Yako.
      • Kila Mtu Yupo Bize Na Lugha Yake.
      • Mambo Ya Kuyatambua Katika Maisha Lakini Kuzingati...
      • Mwenyezi Mungu Ni Nani?
      • Hata Kama Umezaliwa Kwa Injili Ya Maji Na Roho Una...
      • Tujifunze Kutoka Kwa Panya Na Kuishi Maisha Yenye...
    • ►  September (43)
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ►  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ►  August (4)
    • ►  July (3)
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI


ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates