JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Sunday, October 7, 2018

Mambo Ya Kuyatambua Katika Maisha Lakini Kuzingatia Ni Wewe.

 Sadick Kilasi     October 07, 2018     MAHUSIANO     No comments   

Kila Utofauti Una Mbegu Yake.

Dunia inaendeshwa kwa kanuni na misingi yake. Bila kutambua kanuni ambazo Mungu kaziweka duniani ni wazi maisha yatakosa ubora kwa mhusika.

Zipo kanuni ambazo huendesha dunia japokuwa wengi hatuzitambui kwa sababu hatupo tayari kujifunza na kumsikiliza Mungu nini ambacho anakuambia. Watu wengi japokuwa tunajifunza lakini kujifunza kwetu kupo katika mfumo wa ushabiki na si kujifunza ili kutambua tofauti.

Ninamshukuru Mungu mwenye enzi yote ambaye aliumba mbingu na nchi ambaye yeye ndiye mwanzo wa mambo yote na ndiye Mfalme wa utukufu wote. Watu wote ambao tunaishi dunianitupo chini ya utukufu wa Mungu, japo tupo tofauti lakini wote tupo chini ya uweza wa Mungu. Shatani ambaye huitawala hii dunia hana mamlaka kwa Mungu japokuwa amepewa atawale dunia na si kuimiriki. Mungu ndiye Mfalme wa vyote.

Ndugu yangu, katika kutambua tofauti na kuishi maisha leo nakushirikisha mambo ya kuyatambua katika maisha ambayo hupaswi kuyaendekeza lakini hupaswi kupuuza.

Wema na ubaya. Inakufaa kutambua wema na ubaya lakini hupaswi kuendekeza wema na ubaya. Ikiwa utaishi maisha ya kutotambua wema na ubaya ni wazi kwamba utakufa mapema kabla ya wakati. Lakini pia ukiendekeza wema na ubaya ni wazi kwamba maisha yako hayatakuwa na msingi wowote. Ni vema ukatambua jambo linalokufaa na kuishi kwa msingi unaoeleweka, huku ukijifunza kutoka kwa hilo ulilolikataa.


Dini. Huwezi kuikataa dini kwani dini ni chombo cha kumrudia mwenyezi Mungu, lakini huwezi kuindekeza dini kwani dini ni chombo tu. Katika maisha tafuta uhali wa jambo na si kuishia kwenye kivuli cha ukweli. Tumeletwa duniani tutawale na si kutawaliwa na vinavyoonekana. Leo hii kuna migawanyiko mingi sana katika dini, mpaka kwenye dini kuna madhehebu ndani yake. Mathehebu si jambo lakuendekeza katika maisha, na ukiona sasa umetoka kwenye kuendekeza dini sasa unaenda kuendekeza mathehebu ni wazi sasa, ndivyo unavyozi kutoka katika uwepo wa Mungu.

Asili za watu. Hatari nyingine ambayo ni mbaya zaidi kuliko zote ni kuendekeza asili ya mtu, ni upumbavu wa mwisho kuendekeza sura ya mtu, kabila, ufupi, urefu rangi, ni jambo lisilofaa. Tambua tu uwepo wa jambo, tafuta uhali wa jambo, ishi ukweli wa jambo. Usibague watu kwa kufuata asili ya mtu. Tumia utu kufanya maamuzi, ishi upendo kuendesha maisha.

Haya ni maeneo ambayo unapaswa kuyazingatia sana katika maisha. Lakini pia unapaswa kuelewa kwamba kila penye upacha pana ukamili ndani yake, tafuta uhalisi kwa kutambua utofauti. Kuna watu wapo kwenye maeneo ambayo hawayaelewi, unachopaswa kufanya ni kukubali kwamba hupo sehemu sahihi harafu tafuta usahihi. Kama unaishi kwa kubahatisha maisha yatakosa maana. Kili kwamba wewe ni mjinga wa jambo hilo, harafu tafuta ukweli wa jambo hilo. Kama upo mahali ambapo hupatambui usijiendekeze hapo ulipo lakini kubali kwamba hapo ndipo ulipo.

Kuendekeza utofauti ni ujinga lakini kuendekeza mbegu ya utofauti ni welevu. Mungu ndiye aliyeleta dini, mtukuze Mungu, Mfalme wa vyote. Ukitazama, usiishie kutazama hakikisha unaona. Mambo yalianza hivi, Mwanzo 1:1, Hapo mwanzo Mungu aliumba Mbingu na Nchi, Mambo yote yalianza hivo. Mtafute Mungu, yeye ndiye hekima yote, na funguo ndiyo hii, INJILI YA MAJI NA ROHO. Asante.

Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com

Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ►  2019 (46)
    • ►  December (4)
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ▼  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ▼  October (29)
      • Maisha Yenye Maana.
      • Wapi Ulipo?
      • Sala Ya Kuomba Amani.
      • Sicho Hicho Ndugu Yangu Unachohitaji.
      • Mwili Wako Ni Zawadi Kwa Wengine.
      • Utabiri Unaonesha Kwamba Wewe Utafurahia Maisha Ka...
      • Unachohitaji Katika Maisha Yako.
      • Kutambua Dalili Za Kujiliwa Kwa Jambo Jipya.
      • Ishi Kwa Kudhamiria Jambo Jema.
      • Ubatizo Ni Nini?
      • Upekee Unagharama Yake Ya Kulipa.
      • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache,...
      • Uogope Woga unaokufanya Uwe Mwoga.
      • Jifunze Kwa Bidii Ili Uwe Huru.
      • Wakati Jama Wakati.
      • Madamu Unayo Leo Unaweza.
      • Viungo Vya Mwili Hufanya Kazi Kwa Ushilikiano.
      • Dunia Mama Haimtupi Mwenye Mwili.
      • Mwalimu Nyerere Zawadi Ya Afrika Na Dunia Kwa Ujumla.
      • Mambo Ya Kujua Na Kuepuka Ili Kudumisha Furaha Kat...
      • Unabadilisha Nguo Kila Siku, Kwanini Usibadilishe ...
      • Angalia Mbegu Unazokazana Kupanda.
      • Usikazane Kutafuta Raha Katika Maisha Bali Kazana ...
      • Ujumbe Uliobeba Ndani Yako.
      • Kila Mtu Yupo Bize Na Lugha Yake.
      • Mambo Ya Kuyatambua Katika Maisha Lakini Kuzingati...
      • Mwenyezi Mungu Ni Nani?
      • Hata Kama Umezaliwa Kwa Injili Ya Maji Na Roho Una...
      • Tujifunze Kutoka Kwa Panya Na Kuishi Maisha Yenye...
    • ►  September (43)
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ►  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ►  August (4)
    • ►  July (3)
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI


ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
Comments
Atom
Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates