Neno Kutoka Kwa Sadick Kilasi...Tuumalize Ubaya Hivi.
Kama tukiendelea kuulinganisha ubaya na wema, basi ubaya hauna budi kuendelea kuwepo. Lakini kama hatutaki ubaya uwepo basi hatuna budi kuuongelea wema tu. Usicho kipenda usikiongelee kabisa.
Sadick Kilasi March 25, 2018 NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI No comments
Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.
Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...
0 comments:
Post a Comment