Uwe unafanya ujinga au la, dunia hawezi kuacha kukupa matokeo unayota. Kikubwa tu kuwa king'ang'anizi utapa unachotaka.
Kuwa shujaa kwenye hii dunia ni kulipa gharama, ikisha unapokea unachotaka.
SOMA:Kipi Kinakusukuma Kukua?
Angalia mashujaa wa dunia hii kwa kweli wapo tofauti tofauti, tabia mbalimbali. Kuwa king'ang'anizi utapa unachotaka.
Endelea kutembelea blogu hii kijifunza zaidi.
Wako Sadick Kilasi.
Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
0 comments:
Post a Comment