Maisha ni mafupi sana, unapokazana kufanya kila kitu, Maisha ni mafupi sana, unapokazana kukusanya vitu vyote vya dunia.
Maisha ni mafupi sana, unapokuwa mbinafsi sana lakini pia maisha yanakuwa mafupi pale unapokuwa na tamaa sana.
Ni kweli kabisa maisha ni mafupi sana, kiwango cha kawaida ni miaka sabini, lakini ukijitaidi sana miaka themanini, mda ni mdogo sana.
Mpendwa msomaji, maisha ni marefu sana, unapokuwa umetambua kusudi la kuishi maisha na ukakamirisha kwa mda, maisha ni marefu sana.
Jambo la msingi ndugu msomaji, kazana kufanya mambo ya muhimu achana kukazana kukimbizana na kila kitu, mda wa maisha ni mfupi sana, chagua ya muhimu kwako yafanyie kazi na kamieisha mambo mengine anachana nayo, dinia hii ya matokeo kila siku jambo jipya linaibuka na huwezi kwenda na kila kitu.
Endelea kutembelea blogu hii kijifunza zaidi. Tafadhari usiache kuwashirikisha wengine ujumbe huu.
Wako Sadick Kilasi
Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
0 comments:
Post a Comment