Ushawahi kukutana na muuza kiatu njiani au ukapita njiani ukaona kiatu kuzuri ukakinunua bila hata wala hukutegemea kununua?
Mara nyingi mtu akinunua tayari, anajifariji mwenyewe atakwambia kwa sababu nimekipenda, lakini sio kweli huo ni utumwa wa vitu, sio kila unachokipenda lazima ukinunue, kuwa mvumilivu.
Nunua kitu kinachohitajika sio kitu ambacho unafikiri umekipenda. Ukiwa na mapenzi sana na vitu utakusanya makolokolo mengi sana mpaka utachoka mwenyewe baadaye utaona hayana muhimu na utaishia kutupa tu.
Wako Sadick Kilasi.
Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.co.
0 comments:
Post a Comment