Mpendwa msomaji pamoja na kutimiza ratiba zako za kila siku lakini kujifunza niswala la muhimu sana katika maisha. Huwezi kufanya mambo yako kwa ubora mzuri kama haupo tayari kujifunza nakuongeza maarifa. Kujifunza hakuna mwisho hata kama wewe una ubora mkubwa kiasi gani katika jambo fulani, kujifunza kutakufanya uone kwa jicho la tofauti katika jambo hilhil ambalo wewe unafanyaga kimazoea.
Kwahiyo mpendwa msomaji nakukaribisha katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI, ambayo mimi nitakuwa nakupikia kila siku mambo ambayo yatakubadirisha katika hali tofauti. Karibu sana ujifunze mambo mbalimbali ndani ya jikolaushauri.blogspot.com.
0 comments:
Post a Comment