Hii Ndio Maana Ya Hofu.
Hakuna kitu ambacho kinatisha kama hofu, hofu inatisha sana.
Mara nyingi huwa tunafikiri kuwa hofu ni ile hali ya kuogopa kufanya kitu, lakini ukweli ni kwamba ile sio hofu halisi, ile ni ishara ndogo ya hofu ambayo inamtaka mtu kuwa makini.
Wakati mtu hataki kufanya kitu kwa sababu woga, woga huleta tabia ambayo humkaa mtu ndani yake asitake kufanya mambo kwa sababu ya hofu ya umakini.
Ipo hofu ya kweli ambayo ilimfanya Mtumishi wa Mungu Daudi awe anamlilia Mungu, ipo hofu ya kweli ambayo iliwafanya wanafunzi wa Yesu wapige kelele walipokuwa wanavuka bahari na Yesu alikuwa amelala, naam, hii ni hofu ya kifo.
Hofu hii inakuua ukikosa uelewa, kwa lugha ya kikwetu tunasema (Idzumile Manga) naam, katika kitabu cha Tumaini Jema, ambacho kinaeleza juu ya hazina ya Afrika Mashariki nimeeleza kwa Undani juu ya Idzumile Manga yaani amepata mstuko wa imani. Hofu ya Torati. Mambo haya nimeandika juu ya Madagascar ambayo ni kama mapafu, naam, mapafu ambayo ndiyo imani yenyewe.
Kwa hiyo, usiogipe kufanya mambo makubwa kwa sababu ya hofu ya umakini, hii ni hofu tu ya upendo. Hofu hii kubwa inaletwa na nguvu za kiimani, haiwezi kuwepo tu.
Jipende, fanya mambo makubwa ishi maisha yako kwa matumaini, usiogope hofu ya umakini. Hofu ya kifo inamjia mtu kwa sababu maalamu na neema ya Kristo Yesu ndio mkombozi juu ya hofu hii.
Sadick Lazaro Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.
Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
0 comments:
Post a Comment