SunguSungu.
Ni ukweli usiopingika kuwa, wazungu ndio matajiri wa matumizi mazuri ya muda.
Leo, katika etimilojia ya maneno, nimekutana na neno, sungusungu. Etemolojia ni utafiti wa kutafiti maneno na asili yake.
Neno sungusungu linamaana ya matumizi mazuri ya muda. Na neno hili, asili yake ni uzunguni.
Waafrika katika kuenenda kwa kujali muda, tunavikosi vya sungusungu, hivi vikosi vya kujali uwepo, kwa muda, kwa mahala sahihi.
Ndugu zangu Watanzania, ee nyinyi mlio Waafrika, takeni sana kutumia muda vizuri ili mstarabike na kuwa wazungu.
Ndio, uzungu ni matumizi mazuri ya muda bila shuruti ya sungusungu, kwani, hii, inaleta utumwa.
Uzungu sio kuwa mweupe, uzungu ni matumizi mazuri ya muda.
Mungu mwenye nguvu akijalia, kesho tutakujilia na neno lingine.
Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot.com.
Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
0 comments:
Post a Comment