Mwanamke, badala ya kuuza mwili wako uza historia ya maisha yako, tena uza kwa kuwajenga watu.
Unapouza historia ya maisha yako unajijenga wewe, kwa sababu unakusanya historia ya maisha yako na kuifanya kuwa pamoja, tena unaikumbuka nafsi yako ilipita wapi.
Unapouza umbo la mwili wako unajipunguza wewe mwenyewe. Angali sasa unavyojibana na nguo zako, wewe mwenyewe unajimaliza kwa kujichubua sana.
Tena unaendelea kujiharibu kwa sababu ya ubize katika mbele na umesahau nyuma yako inayokuboresha hivi Leo.
Kuwa simpoo, uwe na kiasi katika Bwana.
Sadick Kilasi wa jikolaushauri.blogspot. com.
Mawasiliano ni 0687000768 au sadikila65@gmail.com.
0 comments:
Post a Comment