Falsafa Za Asili.
Ukitaka mtu aseme ukweli wa moyo wake, mgandamize, mwonee sana. Lakini mwenye hekima akijua hili hatakwambia ukweli wa mambo.
Jiwe linaporushwa kutoka juu kwa msukumo mkali na kujibamiza chini husababisha mpasuko wa vipande vipande vingi kama cheche.
Mkondo wa maji unapozibwa hutafuta kila njia ili kutiririka.
Moyo wa mwanadamu...
Sunday, January 19, 2020
Wednesday, January 15, 2020
Meli Kuelea Juu Ya Maji.
Meli Kuelea Juu Ya Maji.
Leo usiku, usiku wa Leo, Mungu amenifundisha kitu kikubwa sana.
Amenifundisha namna ambavyo mchakato wa meli inavyotengenezwa na mwisho kuingia baharini kufanya kazi.
Ukweli ni kwamba, meli hutengenezwa pembeni mwa bahari, (nchi kavu) kwaajili ya matumizi ya baharini.
Katika maisha tumekuwa tunatumia muda mwingi kwaajili...
Tuesday, January 14, 2020
Pembe Tatu
Pembe Tatu Na Jinsi Ambavyo Unaweza Kutatua Matatizo.
Hesabu za maumbo ni hesabu ambazo zilianzishwa na Wana Mahesabu. Wataalamu wa hesabu.
Tunapozungumzia mahesabu ya maumbo tunazungumzia mzunguko unaunda umbo fulani kutokana na umbo la kitu.
Kutokana na muundo wa umbo unajua kuwa hapa niliposimama nimesimama sehemu gani.
Kutokana na maumbo...
Wednesday, January 1, 2020
Uhuru Wa Kufanya Mambo Na Mipaka Yake.
Uhuru Wa Kufanya Mambo Na Mipaka Yake.
Katika maisha kila mmoja anahitaji uhuru. Haijarishi ni mtu wa namna gani awe mkubwa ama mdogo, uhuru ni jambo la muhimu kwa kila kiumbe chochote kile.
Ushawahi kumipinga sisimizi mbele yake, katika mwenendo wake? Hakika ukiwapinga siafu katika msafara wao hukasirika sana.
Maisha ni uhuru, na hapo ndipo...