Sadick Kilasi:
SunguSungu.
Ni ukweli usiopingika kuwa, wazungu ndio matajiri wa matumizi mazuri ya muda.
Leo, katika etimilojia ya maneno, nimekutana na neno, sungusungu. Etemolojia ni utafiti wa kutafiti maneno na asili yake.
Neno sungusungu linamaana ya matumizi mazuri ya muda. Na neno hili, asili yake ni uzunguni.
Waafrika katika kuenenda kwa...
Friday, May 31, 2019
Thursday, May 16, 2019
Upekee Wako
Sadick Kilasi:
Badili Mkao Uliokaa
Kila mtu aliumbiwa upekee wake, dunia inakuhitaji, vivyo hivyo ulivyo ndivyo unavyohitajika.
Sasa, wewe, unachohitajika kufanya ni kubadili mkao uliokaa.
Mtu hawezi kubadilika, ila mtu anaweza kubadili mazingira. Hapo mwanzo, zamani za wakoloni, wazungu walibadili mkao wakatafuta utofauti ili watambue njia. Kwani...