Falsafa Za Asili.
Ukitaka mtu aseme ukweli wa moyo wake, mgandamize, mwonee sana. Lakini mwenye hekima akijua hili hatakwambia ukweli wa mambo.
Jiwe linaporushwa kutoka juu kwa msukumo mkali na kujibamiza chini husababisha mpasuko wa vipande vipande vingi kama cheche.
Mkondo wa maji unapozibwa hutafuta kila njia ili kutiririka.
Moyo wa mwanadamu hufisha mengi, Ni nani awezaye kuujua.
Usimtegemee mwanadamu, jitegemee. Mwanadamu asemapo ndio, uongo umebaki ndani yake. Na asemapo uongo, ukweli ameuficha ndani.
Ni nani ambeye hupenda kuambiwa nusunusu? Naam, Ni mwanadamu yupi awezaye kunena kweli yote?
Acha moyo wako uongee, wewe kaa kimya kabisa.
Sadick Lazaro Kilasi.