Kazi ya akili ni kupima hisia. Hisia zilizoboreshwa huitwa akili.
Moyo ndio kisima cha hisia za ndani. Moyo ukiwa safi hutunza akili. Kila akili huboreshwa na hisia, kwahiyo kunauhusiano mkubwa sana kati hisia na akili.
Sadick Lazaro Kilasi.
jikolaushauri.blogspot.com.
0 comments:
Post a Comment