JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Tuesday, December 17, 2019

Pembe Tatu Na Jinsi Ambavyo Unaweza Kutatua Matatizo.

 Sadick Kilasi     December 17, 2019     No comments   

Hesabu za maumbo ni hesabu ambazo zilianzishwa na Wana Mahesabu. Wataalamu wa  hesabu.

Tunapozungumzia mahesabu ya maumbo tunazungumzia mzunguko unaunda umbo fulani kutokana na umbo la kitu.

Kutokana na muundo wa umbo unajua kuwa hapa niliposimama nimesimama sehemu gani.

Kutokana na maumbo hayo tunakuwa tunaiwezo wa kupambanua mahusiano kati yetu na wengine. mfano, ukisisimama na mwezio katika mstari mmoja mnakuwa na mtazamo mmoja, lakini wakati wewe unabadili mkao wako na unamwacha mwenzio tayari unakuwa na uwezo wa kuona pale ambapo ulikuwa umesimama kwa mara ya kwanza na sasa umesimama sehemu gani.

Kwa njia kama hii, sehemu ambayo umesimama kwa sasa unaweza mshawishi mwenzio kuja sehemu ulipo ama la.

Kwa mfano, Mimi Sadick ni wa Kristo, nimefanyika kuhani wa Kristo, kwahiyo mkao niliokuwanao zamani na sasa ni tofauti.

Kutokana na jinsi ambavyo nimebadili mkao, ijapokuwa tangu utotoni mwangu nimekuuzwa katika imani ya Kristo Yesu lakini katika utoto nilikuwa nafanya si kwa imani yangu lakini sasa nafanya kwa imani yangu. Mtazamo nilionao juu imani yangu kwa Yesu nimebadili na najaribu kuona kwamba naweza kwenda hatua ya ziada zaidi ili kumjua zaidi Kristo Yesu.

Elimu ya mitazamo inahusiana sana na Elimu ya maumbo. Kwa mfano, Ukiona unabishana na mtu ujue kuwa mitazamo yenu ipo sawa. Lakini kama ukiruhusu kujiona basi unaweza ukabadilika pale ulipo ili mabishano yasiwepo tena. Ukibadili mkao utaona vema pale ulipokuwa umesimama mara ya kwanza na utamwona mwenzio alipo.

Kama ukijua kosa lako ulilokuwa nalo mara ya kwanza, utamsamehe mwenzio.  Watu huwa tunawasamehe wengine si kwa uwezo wetu, bali makosa ambayo tuliwahi kufanya yanatupa uwezo wa kuwasamehe wengine.

Hiyo halo juu ni kanuni ya pembe tatu. Lakini wakati mwenzio amekubali msamaha wako basi, jua kuwa umemjenga mwenzio na mmekamirisha pembe nne. Sisi sote tumefanyika makuhani wa Kristo Yesu kwa wale ambao hawajamjua yeye.

Hapa nimetumia mahesabu ya lugha za hisabati. Lakini vyote hivi ni vya Mungu mweza wa yote. Haijarishi kwamba aligundua binadamu, lakini Mimi nasema kuwa yeye aliona vyema. Unajua kila kitu tayari Mungu mwenye uweza Mwuumba  Mbingu na nchi alifanya kuwa tayari kwa vyote. Anataka watu waone vyema tu.

Amina.

jikolaushauri.blogspo.com.

Sadick Lazaro Kilasi.
Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg

Sunday, December 1, 2019

Amani Ya Moyo.

 Sadick Kilasi     December 01, 2019     No comments   

Amani Ya Moyo.

Kazi ya akili ni kupima hisia. Hisia zilizoboreshwa huitwa akili.

Moyo ndio kisima cha hisia za ndani. Moyo ukiwa safi hutunza akili. Kila akili huboreshwa na hisia, kwahiyo kunauhusiano mkubwa sana kati hisia na akili.

Sadick Lazaro Kilasi.

jikolaushauri.blogspot.com.
Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Newer Posts Older Posts Home

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ▼  2019 (46)
    • ▼  December (4)
      • Pembe Tatu Na Jinsi Ambavyo Unaweza Kutatua Matatizo.

      • Amani Ya Moyo.
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ►  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ►  October (29)
    • ►  September (43)
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ►  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ►  August (4)
    • ►  July (3)
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
All Comments
Atom
All Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI

ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
All Comments
Atom
All Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates