JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Tuesday, August 8, 2017

Chukua hii

 Sadick Kilasi     August 08, 2017     BIASHARA, NJOZI     No comments   

Oprah Winfrey alisema methali hii "Doind the best at this moments patsyou in the best place for the next moment." Maanake kufanya kitu kilicho kizuri sasa  inakuweka katika nafasi ya kufanya kitu kizuri na bora kwa wakati ujao.

Oprah Winfrey ni mwanamke hbillinea mbunifu wa vipindi vya televition nchini Marekani  na ndiye mwanamke maarufu zaidi duniani mwenye utajiri usio wa kurithi na mwanamke pekee  Mmarekani mwenye asili ya Afrika [mweusi] katika orodha ya wanawake 100 mashuhuri duniani kwa mujibu wa jarida la forbes 2014.
Wako jikolaushauri.blogspot.com
sadikila65@gmail.com
0659639168
Sadick Kilasi.
Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg

Sunday, August 6, 2017

Chukua hii

 Sadick Kilasi     August 06, 2017     BIASHARA, NJOZI     No comments   

Uhuru wa mda hisia na nafasi humfanya mtu aweze kufikiri vizuri kwa usahihi na ukamirifu wake. Matajiri wakubwa ulimwenguni walifanikiwa zaidi katika biashara zao walipata mawazo ya biashara wakiwa mapumuzikoni ambapo huwa na muda wa kutosha na uhuru wa kupambanua mambo kwa upanana usahihi. Jijengee utaratibu wa kupata mda kufikiria na kubuni wazo la biashara na kulifanyia kazi.
jikolaushauri.blogspot.com
sadikila65@gmail.com
0659639168
Sadick Kilasi
Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg

Mambo niliyojifunza kutoka kwenye kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA.

 Sadick Kilasi     August 06, 2017     BIASHARA, UJASIRIAMALI     No comments   


Biashara ndani ya ajira ni kitabu ambacho ni mahususi kwa waajiriwa ambao wanapata changamoto kubwa jinsi ya kujikwamua kutoka kwenye ajira na kuingia kwenye biashara. Kitabu hiki kinaonyesha namna  ya kuzikwepa changamoto hizi, na mwandishi ameonyesha njia za kukabiriana na changamoto hizi.

Kitabu hiki kimeandikwa na mwandishi mashuhuri na mhamasishaji MAKIRITA AMAN ambaye yeye anaishi kusudi la maisha yake ambalo ni kuwasaidia watu kuwa na maisha bora kupitia kazi wanazofanya. Mimi binafsi napenda kazi zake na nipo tayari kununua kutoka kwake. Karibu tuangalie mambo niliyojifunza kutoka kwenye kitabu hiki;

1.Kutokana na mapinduzi ya teknologia na kuwepo kwa mitandao ya internet, ajira zimekuwa hazina uhakikana ni chache. Hii imetikana na sehemu ambayo walikuwa wanakaa watu watano sasa hivi anakaa mtu mmoja.

2.Chanzo kimoja cha kipato ni utumwa. Kwasababu huna uhuru wa kuchagua mambo kwa sababu wewe ni mwajiriwa na nilazima uingie kwenye madeni kupitia mikopo.

3.Biashara inahitaji mda kukua.
Kwa wale ambao wanatoka kwenye ajira moja kwa moja wanapata changamoto kubwa sana kwa sababu mipango sio matumizi. Unapokuwa umeweka mipango yako  kunachangamoto ambazo wewe hukutegemea kuzikuta unakutananazo.
Na kwa wale ambao wanasubiri mpaka kustaafu nao pia hii inakuwa changamoto pia kwa sababu umri nao unazidi kwenda, na watu hawa huwa wakipata mafao yao huwekeza yote kwenye biashara na kuaanza kuitegemea biashara wakati bado ikiwa changa. Kutokana na changamoto hizi ni bora kuanza biashara huku ukiwa ndani ya ajira ili upambane kwa uhuru na kukuza biashara yako vizuri na kwa mda sahihi.

4.Lazima ukubali kupoteza.
-kubali kupoteza mda wakupumuzika
-kubari kupoteza muda wakijamii
-kubali kupoteza starehe na burudani.
Kufanya biashara ukiwa ndani ya ajira lazima ukubali kuacha mambo ambayo unayapenda sana na hayana maana.

5.Sio kila biashara unaweza kufanya ukiwa bado kwenye biashara, bali kuna kuna biashara furani unaweza kuzifanya na kufikia mafanikio makubwa, biashara kama;
-kipaji ulichonacho,
-utaalamu na uzowefu wako,
-biashara za kawaida,
-biashara za mtandao na
-kilimo cha biashara.

Ni hatari sana kuchoma meli moto ili usipate nafasi ya kurudi nyuma, hii ni kutokana na kutotabirika kwa uchumi ni bora kupambana ukiwa ndani ya hiyo hiyo meli. Usiache ajira nakuingia kwenye biashara ni hatari sana.
Haya ni mambo machache kati ya mengi niliyojifunza kutoka kwenye kitabu hiki. Nakusihi rafiki yangu tafuta kitabu hiki kisome hata kama wewe huja ajiriwa kitakusaidia.
 Endelea kutembelea mtandao wetu wa JIKO LA USHAURI.
jikolaushauri.blogspot.com
sadikila65@gmail.com
0659639168
Sadick Kilasi.
Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg

Saturday, August 5, 2017

Namna ya kumla Tembo

 Sadick Kilasi     August 05, 2017     BIASHARA, NJOZI, UJASIRIAMALI     No comments   

'Kabla haujaanza kumla tembo, hakikisha umechagua sehemu unazotaka kumla' Hii ni tafsiri ya kiswahiliya methali isemayo "Before you eat the elephant make sure you knowwhat parts you want to eat."
                                    Todd Stocker.
Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Newer Posts Older Posts Home

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ►  2019 (46)
    • ►  December (4)
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ►  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ►  October (29)
    • ►  September (43)
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ▼  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ▼  August (4)
      • Chukua hii
      • Chukua hii
      • Mambo niliyojifunza kutoka kwenye kitabu cha BIASH...
      • Namna ya kumla Tembo
    • ►  July (3)
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
All Comments
Atom
All Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI


ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
All Comments
Atom
All Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates