JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • ushauri
    • KUHUSU SISI
    • MAISHA NDANI YA YESU
  • MAWASILIANO
    • NAMBA YA SIMU
      • Sub 0687000768
      • Sub Child Category 2
      • facebook
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • NJOZI
  • SAIDIA HUDUMA HII
    • Childcare
    • Doctors
  • NYUMBANI
  • KUFURAHIA MAISHA
    • Stock
  • TAFAKARI YA ROHO
    • HEKIMA ZA WAZEE
    • Games
    • AFYA
      • Office
  • MAHUSIANO
    • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • USHAURI
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
    • Childcare
    • Doctors
  • PATA BLOGU

Friday, July 14, 2017

Mambo makuu matatu ya kuzingatia ili biashara ikue haraka.

 Sadick Kilasi     July 14, 2017     BIASHARA, NJOZI, UJASIRIAMALI     No comments   

U hali gani mpendwa msomaji wa blogu ya JIKO LA USHAURI? Natumai unaendelea salama, karibu tena kwenye uwanja huu wa kushauliana na kuelimishana katika maswala mbalimbali juu ya maisha yetu.

Rafiki yangu, leo nakushirikisha mambo makuu matatu ya kuzingatia ili biashara yako ikue haraka bila yamisukosuko mingi. Ni ukweli usiopingika biashara anahitaji nidhamu ya hali ya juu  ili isife. Na maana halisi ya biashara ni mabadilishano kati ya watu wawili, mmoja anakuwa na dhamani ya bidhaa au huduma na mwingine anakuwa na uhitaji wa bidhaa au huduma kwa hiyo inamlazimu anunue kwa fedha kuringana na dhamani ya huduma hiyo au bidhaa hiyo. Mambo matatu ya kuzingatiaili biashara isife ni;

1.Masoko
Tunaposema masoko ni zile sehemu ambazo biashara inafanyika na kufanya watu wajue ipo biashara na inaweza kuwasaidia katika matatizo yao. Masoko yanahusisha matangazo na kampeni mbalimbali  za kumfikia mteja wa biashara husika.

2.Mzunguko wa fedha.
Katika mzunguko wa fedha sheria kuu ni moja lazima mapato yawe makubwa kuliko matumizi. Hivyo muzzunguko wabiashara lazima utengeneze mfumo chanya wa fedha kwenye biashara ili iweze kukua.

3.Usimamizi
Biashara zinakuwa changamoto nyingi sana hivyo bila ya kuwa na msimamizi mzuri biashara itayumbishwa nachangamoto hizo.

Mpendwa rafiki biashara zinachangamoto nyingi sana ila kwa kuzingatia hizi changamoto kuu tatu tayari unakuwa umeondokana na hatari ya biashara yako kufa. Nakushauri rafiki yangu uzingatie mambo haya matatu ili biashara yako iwe sehemu salama na iweze kukua vizuri.

Ili kupata makala hizi nzuri endelea kutembelea blogu hii, pia jiunge na mtandao huu ili uwe wa kwanza kupta makala mpya pale tu itakapo andikwa. Bonyeza neno  JISAJIRI kisha jaza email yako na utume kwa mchakato huo tayari unkuwa mwanachama. Lakini pia unaweza kukotoa maoni juu ya makala hizi.. Unaweza kuwashirikisha wengine kwa kushare. Endelea kujifunza katika jikolaushauri.blogspot.com.
sadikila65@gmail.com.
0659639168
Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg

Mwalimu wetu Baba wa Taifa Julius Nyerere alikuwa anamaanisha nini juu nukuu hii?

 Sadick Kilasi     July 14, 2017     BIASHARA, NJOZI     No comments   

  Habari mpendwa msomaji wa blogu yetu ya JIKO LA USHAURI? Natumai unaendelea vizuri katika mafunzo ya katika blogu  hii. Leo ningependa tujadiri mimi na wewe juu ya nukuu ambayo Mwalimu Julius Nyerere alituachia.

''Mwanadamu anaweza kujikomboa na kujiendeleza mwenyewe, hawezi kukombolewa na kuendelezwa na mtu mwingine. Elimu inayo mwandaa mtu kuwa mtumwa hiyo sio elimu hata kidogo ni mkakati wa utekaji fikra. Elimu lazima iongeze uhuru wamtu kijamii na kifikra, iongeze uwezo wa mtu kujitawala, kutawala maisha yake na mazingira anayoishi. Na mtu anayejifunza kuna jambo anataka kufanya''.

Kitu ninachoomba mpendwa msomaji ni kutoa maoni juu ya hiyo nukuu, wewe cha kufanya comment jinsi wewe unavoelewa, pia unaweza kushirikisha kwa watu wengine ili tupate maoni mengi zaidi ili tujifunze zaidi na zaidi.
Wasiliana nami kwa 0659639168 au barua pepe
sadikila65@gmail.com.
Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg

Wednesday, July 12, 2017

Karibu katika blogu ya JIKO LA USHAURI

 Sadick Kilasi     July 12, 2017     BIASHARA, NJOZI     No comments   

  Habari mpendwa msomaji wa blogu yetu ya JIKO LA USHAURI, natumai umuzima wa afya na unaendelea vizuri na kupambana na mambo ya kila siku {majukumu}. Hii ndio kazi na wajibu wa binadamu ni kuhakikisha anatimiza ratiba zake za kila siku.

Mpendwa msomaji pamoja na kutimiza ratiba zako za kila siku lakini kujifunza niswala la muhimu sana katika maisha. Huwezi kufanya mambo yako kwa ubora mzuri kama haupo tayari kujifunza nakuongeza maarifa. Kujifunza hakuna mwisho hata kama wewe una ubora mkubwa kiasi gani katika jambo fulani, kujifunza kutakufanya uone kwa jicho la tofauti katika jambo hilhil ambalo wewe unafanyaga kimazoea.

Kwahiyo mpendwa msomaji nakukaribisha katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI, ambayo mimi nitakuwa nakupikia kila siku mambo ambayo yatakubadirisha katika hali tofauti. Karibu sana ujifunze mambo mbalimbali ndani ya jikolaushauri.blogspot.com.
Read More
  • Share This:  
  •  Facebook
  •  Twitter
  •  Google+
  •  Stumble
  •  Digg
Newer Posts Home

Search This Blog

Translate

Total Pageviews

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile

Followers

Kurasa

  • Nyumbani
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

Search This Blog

Blog Archive

  • ►  2020 (5)
    • ►  January (5)
  • ►  2019 (46)
    • ►  December (4)
    • ►  October (1)
    • ►  July (8)
    • ►  June (1)
    • ►  May (2)
    • ►  March (14)
    • ►  February (11)
    • ►  January (5)
  • ►  2018 (275)
    • ►  December (17)
    • ►  November (25)
    • ►  October (29)
    • ►  September (43)
    • ►  August (7)
    • ►  July (12)
    • ►  June (17)
    • ►  May (19)
    • ►  April (31)
    • ►  March (33)
    • ►  February (25)
    • ►  January (17)
  • ▼  2017 (58)
    • ►  December (16)
    • ►  November (22)
    • ►  October (2)
    • ►  September (11)
    • ►  August (4)
    • ▼  July (3)
      • Mambo makuu matatu ya kuzingatia ili biashara ikue...
      • Mwalimu wetu Baba wa Taifa Julius Nyerere alikuwa ...
      • Karibu katika blogu ya JIKO LA USHAURI
Sadick Kilasi. Powered by Blogger.

Jisajili kwa kujiunga nasi hapa

Posts
Atom
Posts
All Comments
Atom
All Comments
Maisha yenye maana ni yale maisha ambayo mhusika atambua nini kusudi lake la kuwepo hapa duniani. Hapandipo muhusika anapo kaa katika nafasi yake na kuwasha nuru katika sehemu aliopo kutokana uhusika wake. Jiunge na mtandao huu kupata maarifa zaidi na kwa ushirikiano mwingine kwa ujumla.

Kurasa

  • Nyumbani
  • TAFAKARI ROHO
  • Saidia Huduma Hii Kuwafikia Wengi Zaidi.

JIUNGE NASI SASA KWA KUJAZA FOMU HAPO CHINI


ANZA KUFURAHIA MAISHA NDANI YA YESU, MPOKEE ROHO MTAKATIFU KWA INJILI YA MAJI NA DAMU 0687000768

Zilizosomwa sana

  • Chukua hizi hapa nukuu za Malcolm x mtu ambaye anawavutia wengi sana.
    Ni siku nyingine tena ambayo ni mpya kabisa, karibu tena katika blogu hii ya JIKO LA USHAURI ambapo mimi mpendwa wako nimekuwa naingia jikon...
  • Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ubatizo Wa Maji Machache, Upi Ni Sahihi?
    Ubatizo wa Maji Mengi Na Maji Machache. Kumekuwa na migongano kwa muda mrefu sana juu ya ubatizo, kati ya ubatizo wa maji mengi na ule uba...
  • Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa.
    Falsafa Za Maisha, Yaani Neno La Maarifa. Habari mpendwa? Natumai wewe unayesoma hapa umzima.   Karibu tena katika Falsafa Za Maisha. Ku...

Blog Archive

  • July 2017 (3)
  • August 2017 (4)
  • September 2017 (11)
  • October 2017 (2)
  • November 2017 (22)
  • December 2017 (16)
  • January 2018 (17)
  • February 2018 (25)
  • March 2018 (33)
  • April 2018 (31)
  • May 2018 (19)
  • June 2018 (17)
  • July 2018 (12)
  • August 2018 (7)
  • September 2018 (43)
  • October 2018 (29)
  • November 2018 (25)
  • December 2018 (17)
  • January 2019 (5)
  • February 2019 (11)
  • March 2019 (14)
  • May 2019 (2)
  • June 2019 (1)
  • July 2019 (8)
  • October 2019 (1)
  • December 2019 (4)
  • January 2020 (5)

JIKO LA USHAURI

Itambue Injili Ya Maji Na Roho. Ushiriki Ufalme wa Mungu, pata kitabu cha bure. Wasiliana nasi kwa sadikila65@gmail.com.

Tags

  • BIASHARA
  • HEKIMA ZA WAZEE
  • KUFURAHIA MAISHA
  • KUPATA BLOGU
  • MAHUSIANO
  • MAWASILIANO
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI
  • NJOZI
  • PATA BLOGU
  • SAIDIA HUDUMA HII
  • TAFAKARI NENO YA SIKU
  • TAFAKARI YA ROHO
  • UJASIRIAMALI
  • USHAURI
  • USWAZI TRICK

Kurasa

Labels

  • HEKIMA ZA WAZEE (24)
  • KUFURAHIA MAISHA (76)
  • KUPATA BLOGU (2)
  • MAHUSIANO (81)
  • MAWASILIANO (1)
  • NENO KUTOKA KWA SADICK KILASI (8)
  • NJOZI (94)
  • PATA BLOGU (3)
  • TAFAKARI YA ROHO (57)
  • UJASIRIAMALI (31)
  • USHAURI (78)
  • USWAZI TRICK (9)

Loading...

Fomu ya Anwani

Name

Email *

Message *

  • Napenda kusoma Biblia

About Me

Sadick Kilasi
View my complete profile
INJILI YA MAJI NA DAMU.

Search This Blog

Chapisho Lililoangaziwa

Alipambania Tumaini Lake Na Ndoto Yake Ikawa Kweli.

Kila mtu katika maisha ana tumaini lake. Msingi mkuu wa maisha ni tumaini. Nguvu kubwa ya maisha ni imani na mapito makuu ya maisha ni u...

Posts
Atom
Posts
All Comments
Atom
All Comments
INJILI YA KWELI NI INJILI YA MAJI NA ROHO. (MAJI, DAMU NA ROHO).
HII NDIYO KWELI YENYEWE.
YOHANA 19:34-35.

Copyright © JIKO LA USHAURI | Powered by Blogger
Design by Hardeep Asrani | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com | Distributed By Gooyaabi Templates